Hivi kwanini wanaume huwa mnasema mwanamke ni kiumbe dhaifu?

Aisee!

Haya.
Usiwe unajifungia ndani ya box lzm uwe na mawazo Pana ,
Ukaanndik:- Kwa hiyo msipotuheshimu zala zenu hazina maana

Nikawa najibu hoja yako hii kukuonyesha jinsi ambavyo sala ya mwanamme inaweza isiwe na maana kabisa
Nikaeleza hivi imagine wewe ni MKE Una mume ukamzalia mume watoto kumbe wale watoto siyo WA mumeo licha ya kuwa umewazaa ukiwa naye mume wako

Mume kawaida atajitahidi kumuomba Mungu awabariki watoto wake kumbe siyo WA damu yake , Unategemea Mungu atawabariki ?

Hapo ndiyo maana ya maombi ya mwanaume kuzuiliwa

Sasa unakurupuka eti Niko nje ya maada

Na gazeti ukaandika kabisa! Teh teh tereh!

Haya.
 
Hivi kwanini wanaume hua mnasema mwanamke ni kiumbe dhaifu?

Japo biblical sijaona andiko linalosema wanawake ni kiumbe dhaifu?!!

images
Yani boyfriend wako anakwambia weka laini ya airtel akupigie. Sasa kwenye harusi yenu tutashiba kweli?
 
kwasababu naweza kukona nikakutamani nikakufuata nikakushawishi nikakupeleka sehemu nikakuvua chupi na kukunyandua, usichukulie poa suala la kumshawishi mtu mzima mwenye akili timamu akakuvulia chupi ukafanya unachotaka, kaa ufikirie hicho kitendo sio jambo dogo.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom