Hivi kwanini wanaume huwa awaanguki katika maombi ni wanawake tu

Ngoja waje hao wanaoanguka waseme kinachowaangusha.

Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia akija Mtumishi wa Mungu Askofu Dr. Josephat Gwajima, a.k.a Rashid akakukemea kwa ile sauti yake,🗣️ pepo tokaaa!!

Hutaanguka kweli na kupiga kelele?
 
Wakiwa wanawaombea kuna namna fulani anashika kichwa kama anakupush hivi kwenda nyuma..sasa ni obvious lazima utaelekea nyuma kama unaanguka hapo wake wasaidizi wake wanatakudaka juu kwa juu imeisha hiyo..
 
Yote tisa, kwenye haya matukio ya kupandisha mapepo kuna wakati hutokea anayepandisha anakuwa na fujo hatari na ana nguvu balaa unawezakuta mwanamke mmoja aliyepandisha anazuiliwa na wanaume hata wanne na mshikemshike wake si mchezo, ila yale mapepo ya kanisani huwa wastaarabu sana.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom