luandawski official
Member
- Dec 11, 2016
- 40
- 10
Habari wanaJF,
Hii kitu inaumiza sana kichwa, unakuta watu wasio na bima(wanaolipa cash) huudumiwa haraka kuliko wenye.
Vipi nyie mshawahi kuexperince hii kitu?