Hivi kwanini wananchi wanyonge wa Mafia tumetelekezwa?

Mafia hamjielewi hakuna atakayeleta maendeleo huko! Wanajua hata mkiteseka mtaendelea kuwachagua! Jaribuni kuwapiga chini ccm hata awamu moja muone mtakavyoletewa maendeleo! Jifunzeni kwa watu wa Kigoma!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi,umejitukana mwenyewe,kama unajiita mnyonge na wakazi wenzio unawatukana kuwa wanyonge,hujui kuwa neno mnyonge ni tusi!mtaendelea kuwa wanyonge mpaka mwisho.
 
Mafia ni Tanzania kweli?
Maana IPO kimya kwenye medani ya habari haitajwi kabisa,hats kwenye ramani haipo.
 
Back
Top Bottom