Hivi kwanini wananchi wanyonge wa Mafia tumetelekezwa?

chongoe

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
555
1,000
Habari wakuu,

Nimekaa nikajiuliza nikawaza nikaona kwa upande fulani sisi watu wa mafia kuna sehemu tumekosea maana huku hakuna maendeleo yoyote na hali inazidi kuwa mbaya hakuna usafiri wa uhakika ambao hata Serikali hauna mpango wa kutuletea usafiri wa uhakika.

Yaani tupo tupo tu kama hatutakiwi au tunajilazimisha au CCM ndio wanatufanya hivi maana hata kiongozi yeyote ukimuuliza kuhusu usafiri wa uhakika hawana majibu au mnataka tuangamie ndio mtupe pole bora uchaguzi ufike tutaongea kwa meno hata huo usafiri tunaotumia nauli wanapanga wenye boti ilimradi na sie tumo.

FB_IMG_15853817751249757.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
3,255
2,000
Mwalimu Gaddafi umeanza kampeni mkuu
Habari wakuu,

Nimekaa nikajiuliza nikawaza nikaona kwa upande fulani sisi watu wa mafia kuna sehemu tumekosea maana huku hakuna maendeleo yoyote na hali inazidi kuwa mbaya hakuna usafiri wa uhakika ambao hata Serikali hauna mpango wa kutuletea usafiri wa uhakika.

Yaani tupo tupo tu kama hatutakiwi au tunajilazimisha au CCM ndio wanatufanya hivi maana hata kiongozi yeyote ukimuuliza kuhusu usafiri wa uhakika hawana majibu au mnataka tuangamie ndio mtupe pole bora uchaguzi ufike tutaongea kwa meno hata huo usafiri tunaotumia nauli wanapanga wenye boti ilimradi na sie tumo.Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
spleen

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
2,105

Wananchi wa Mafia hamuna akili..... Hamujielewi.
1.kimbau alikua mbunge miaka 30,sababu ya kutojitambua kwenu
2.Buji akaja kajipigia mahelaa miaka 15
3.Dau nae namuona hana dalili ya kuondoka.
Chagueni mbunge mzawa, Chagueni mbunge msomi, Chagueni upinzani....
Acheni uchawi vile vile..... Zikija boti classic munaziroga....
Kama kikwete alikaa madarakani miaka 10 mukashindwa kumtumia sahauni kabisa kuhusu maendeleo.
Mafia kuna mahoteli mengi na uvuvi..... Jiulizeni ushuru unaenda wapi?..... Madiwani wenu wameishia la saba vichwa box wamejaa usanii tu.
........ Viongozi wa serikali Mafia, wakuu wa wilaya na wakurugenzi hawawezi watetea, kwa nini?,..... Sababu wanalipwa per diem na tiketi za ndege ndefu sana..... Ambayo kama hizo nauli zingesema zinunue boti mungekua na Azam fast ferries kama 10 hivi.
Kikubwa jitambueni kama raia.
Pelekeni watoto shule achaneni kurithishana mashamba ya minazi, kupasa dagaa na kuchokoa kaa bwejuu na jibondo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
7,114
2,000
Habari wakuu,

Nimekaa nikajiuliza nikawaza nikaona kwa upande fulani sisi watu wa mafia kuna sehemu tumekosea maana huku hakuna maendeleo yoyote na hali inazidi kuwa mbaya hakuna usafiri wa uhakika ambao hata Serikali hauna mpango wa kutuletea usafiri wa uhakika.

Yaani tupo tupo tu kama hatutakiwi au tunajilazimisha au CCM ndio wanatufanya hivi maana hata kiongozi yeyote ukimuuliza kuhusu usafiri wa uhakika hawana majibu au mnataka tuangamie ndio mtupe pole bora uchaguzi ufike tutaongea kwa meno hata huo usafiri tunaotumia nauli wanapanga wenye boti ilimradi na sie tumo.Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi ardhi ufukweni inapatikana? Bei gani ekari moja nataka kuwekeza Mafia.
 
mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
3,296
2,000
Lazima mtelekezwe,si mmekubali wenyewe kutukanwa tusi zuli la WANYONGE.
 
Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
5,223
2,000
Mafia ni kama Guantanamo, ni kisiwa kwa kazi maalumu... umemsahau yule nani Jumbe sijui.

Nchi ni kubwa sana hii, chongoe una akili fanya ukimbie huko.... kulialia haitokusaidia.
 
Chuku chuku

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
580
1,000
We jamaa si ulitaka kujitumbukiza baharini wewe? hope Mungu amesaidia na huko salama sasa.
 
kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
2,331
2,000
Usafiri kule ni usafiri kafiri,hakika watu hawa wametelekezwa,baharia murua sana na saaafi,ila kadhia kwa watu wa kawaida kuja Dar/Pwani ni maisha ya movie tosha huko Hollywood
 
Attachments

 • IMG_20191110_000522_9.jpg
  File size
  414.4 KB
  Views
  0
 • IMG_20191111_072823_3.jpg
  File size
  344.2 KB
  Views
  0
 • IMG_20191110_042302_1.jpg
  File size
  308.8 KB
  Views
  0
 • IMG_20191110_063730_2.jpg
  File size
  549.4 KB
  Views
  0

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom