Hivi kwanini wanajeshi wa Tanzania wanapenda kujichukulia hatua za kisheria mikononi?

Acheni lawama zisizo na maana yoyote! Kati ya Watu wanaopaswa kupewa Heshima za Hali ya Juu ni wale! Wanahakikisha tunalala na kuamka salama bila maadui wa Nje kutuonea! Trainings zao zinawaondoa kwenye Ubinadamu wa kawaida! Wanawajali Sana Wananchi, na sii short tempered! Hawapendi dharau, ni vema ukajiepusha kukwaruzana nao! Huwezi park gari kiholela kwenye eneo Lao wakakuangalia tu, no! Hujawahi kujiuliza kwa nini hata Picha haziruhusiwi kupigwa maeneo ya Jeshi? Wana Sheria zao, na wewe kutokujua Sheria sii Kinga dhidi ya Uwajibikaji wako Kisheria!

Wapo watu pia ambao sii jwtz ila wanakuwa na jezi za Jeshi na kuingia mtaani kutishia watu, msiwafananishe na trained soldiers!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana naskia Mapolisi nao wameanza kupiga watu hovyo hovyo tu!
Tanzania tatizo ni nini lakini ? Mbona hatujasikia hata viongozi wa serikali wanakemea ?
Watu wasio na hatia wanapigwa tu!
 
Back
Top Bottom