tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,809
- 15,059
wakuu kwema?
hivi ni kwa nini wanajeshi wa marekani wanastaafu kulitumika jeshi la nchi yao wakiwa na umri mdogo kuliko hapa kwetu Tanzania?
mfano unakuta kijana mdogo tu lets say miaka 27 kaenda iraq au afghanistan mara mbili akirudi anastaafu afu anaenda kupiga mishe zingine za kiraia,nilikua nacheck ile documentary ya wale jamaa waliomuua osama bin laden,inasemekana baada ya ile operation wale jamaa wote walistaafu jeshi na wkati bado umri mdogo kabisa na saivi wengi wao wanafundisha kwenye vyuo vya kiraia.
hali iko tofauti hapa kwetu,unakuta mtu ana miaka zaidi ya 60 lkn bado yuko tu kazini hana mpango hata wa kustaafu.
hivi kwa nini kuna hiyo tofuti wakuu?