Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,719
- 5,368
Ukifuatilia kwa makini utagundua kuwa Wamarekani huwa "grill" sana Wagombea wao ili kupata Rais wao hata kama ni katika wabovu waliojitokeza! Wamarekani watataka kujua Rais wao mtajariwa anajua nini kuhusu Ulinzi wa Taifa lao,Uchumi na Sera za Nje za Marekani!
Baadaye pia hujaribu kujua kama ana vimada (michepuko) na vitu vingine vidogo vidogo vinavyoweza kupima umakini,u-smart ama ubinafsi wa Rais wao mtarajiwa. Mfano kupeleka mradi wa taa za barabarani katika mji ambao jumla ya Gari zilizopo hazizidi kumi na tano (15) mji mzima,hii pekee kwa Wamarekani inaweza kuwa ni ubinafsi unaoweza kua-amount kwenye "disqualification" kwa Mtu anayetaka kuwa Rais wao.
Wamarekani ni kwa nini wanaamini mtu anayejitokeza kutaka kuongoza Taifa lao ni lazima kwanza ajitathimini kuwa uwezo huo anao na si ajitokeze mtu mwenye uwezo wa kuongoza familia yake tu alafu akajitia kuutaka Urais wa Marekani! Huwezi kukuta Rais wa Marekani anaongoza Nchi kama mtu anayeongoza familia yake binafsi anayeamua leo mtakunywa uji wa limao na familia yake inafuata! Mambo yao lazima yapitiwe kwa makini na Congress!
Ni kwa nini Mataifa mengine hayapendi huu utamaduni wa Wamarekani wa kuwa "grill" wagombea wao ?! Unakuta mgombea katika Mataifa mengine anatangaza kugombea/kuchukua fomu ya Urais anafuatwa na Wanahabari afafanue dhamira,maono yake katika uongozi mkubwa wa Nchi, anakimbia kuwa hawezi kuzungumza na Wanahabari,midahalo hataki na akishapewa Nchi ndo watu wanagundua kuwa His or Her political and leadership acumen ni ya kuongoza Household na si Nchi!!
Mwenye details za huu utamaduni wa Wamarekani tofauti na Mataifa mengine atujuze.