Hivi kwanini walimu hawapati teuzi?

Yaani wanamuzi na watangazaji wa redio na luninga ndio hukumbukwa lakini walimu wa primary na secondary ni nadra shida sijui nini? yaani walimu wako downsized mnoo

Haki kupigania jombi. Kusubiri mtasubiri sana.
 
Yaani wanamuzi na watangazaji wa redio na luninga ndio hukumbukwa lakini walimu wa primary na secondary ni nadra shida sijui nini? yaani walimu wako downsized mnoo
Watawajengea confidence na ninyi ni wengi sana mtausumbua utawala
 
Swali lako ni la msingi sana.Wateuzi wengi wanapofikiria kufanya teuzi zao huwa hawawazi kabisa kama walimu hizo nafasi nao wanazimudu vizuri tu.
 
Ualimu kazi ya laana! Alisikika mlevi mmoja akimnanga mwalimu baada ya mwalimu kumuomba amnunulie gongo!
Nami namuunga mkono mlevi.
 
Shida kubwa ya wateuzi wetu wanaangalia kupitia TV, kwahiyo mwalimu ni ngumu kumuona had wafanye savey mashuleni kila Mara..mbali na hapo haitatokea mwal kupewa teuzi yoyote ya juu.
 
Back
Top Bottom