Hivi kwanini wali wa mkaa ni mtamu kuliko ule wa 'rice cooker'?

Wasalaam,
Mimi bwana huwa napikia wali kwenye Rice Cooker lakini juzi nimeenda kumtembelea dada moja ni Mzenji wali wake kwenye mkaa na wakati unapikwa nikasikia harufu ile nzuri nzuri kabisa na wali wake ulivyotoka aisee niliona kabisa utofauti na ule wa Jiko la mzungu. Sasa wadau ili wali uwe vizuri ni lazima nifanye mabadiriko au mimi ndiyo sijui kupika ???
Sio wali pekee. Vyakula vyote vinavyopikwa kiasili ni vitamu sana
 
Wasalaam,
Mimi bwana huwa napikia wali kwenye Rice Cooker lakini juzi nimeenda kumtembelea dada moja ni Mzenji wali wake kwenye mkaa na wakati unapikwa nikasikia harufu ile nzuri nzuri kabisa na wali wake ulivyotoka aisee niliona kabisa utofauti na ule wa Jiko la mzungu. Sasa wadau ili wali uwe vizuri ni lazima nifanye mabadiriko au mimi ndiyo sijui kupika ???
Jinga kubwa unaweza kula tu ndio manaa unanenepa mpaka matako
 
Jiko la mkaa, chungu vinaongeza ladha ya chakula. Maharage au mchuzi uliopikwa kwenye chungu hauwezi kufananisha na kitu cha sufuria.

Nafikiri namna ya nishati ya joto inavyopenya na kuivisha chakula, kuna tofauti sana kati ya jiko la gesi, rice coocker zinatofautiana japo vyakula vyote vitaiva.

Ndio maana mkaa utatumia muda mrefu kulinganisha na umeme na hapo ndio siri ya mahanjumati ilipolala.
upo sahihi mkuu, ni kwamba hapo kuna long wave and short wave ndio maana kuna tofauti kati ya ladha ya mkaa na nishati zingine katika kupika ingawa mnaweza kuweka viungo sana au mpikaji ni yule yule na viungo vilevile ila ladha ikawa tofauti
 
Similar Discussions

15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom