MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,783
- Thread starter
- #41
Mkuu heshima yako aiseeHahahaha
Mkuu heshima yako aiseeHahahaha
Naam mkuu wangu, heshima kwako poa!Mkuu heshima yako aisee
Sio wali pekee. Vyakula vyote vinavyopikwa kiasili ni vitamu sanaWasalaam,
Mimi bwana huwa napikia wali kwenye Rice Cooker lakini juzi nimeenda kumtembelea dada moja ni Mzenji wali wake kwenye mkaa na wakati unapikwa nikasikia harufu ile nzuri nzuri kabisa na wali wake ulivyotoka aisee niliona kabisa utofauti na ule wa Jiko la mzungu. Sasa wadau ili wali uwe vizuri ni lazima nifanye mabadiriko au mimi ndiyo sijui kupika ???
Huu wali Made in China siuelewi kabisa, nataka kama ule wa kwenye misiba na maharusi ya uswahilini.Naam mkuu wangu, heshima kwako poa!
Naona unaulizia mambo ya makuli.
Una hakika wali ndo ulikuwa mtamu au mwenyeji wako?Huu wali Made in China siuelewi kabisa, nataka kama ule wa kwenye misiba na maharusi ya uswahilini.
Jinga kubwa unaweza kula tu ndio manaa unanenepa mpaka matakoWasalaam,
Mimi bwana huwa napikia wali kwenye Rice Cooker lakini juzi nimeenda kumtembelea dada moja ni Mzenji wali wake kwenye mkaa na wakati unapikwa nikasikia harufu ile nzuri nzuri kabisa na wali wake ulivyotoka aisee niliona kabisa utofauti na ule wa Jiko la mzungu. Sasa wadau ili wali uwe vizuri ni lazima nifanye mabadiriko au mimi ndiyo sijui kupika ???
Rafiki karibu nyumbani leo nimepika pilau la kitimoto!
Huu wali Made in China siuelewi kabisa, nataka kama ule wa kwenye misiba na maharusi ya uswahilini.
Jinga kubwa unaweza kula tu ndio manaa unanenepa mpaka matako
Msosi wowote ulopikwa kwa mkaa au kuni huwa na ladha nzuri kuliko nishati za mzungu sijui kwa nn...Mkuu ule wa mkaa ndiyo naukubali hadi kesho yani....
Mimi siku hizi huwa naletewa kazini na binti fulani namlipa pesa.Hahaha...dah miaka ya hivi karibuni, nimezoea wa jiko la gesi, sikumbuki sana...ladha ya wali wa maeneo tajwa.
Acha kabisa......
Wali wa kupikwa kwa mkaa una utamu wake maridadi.
Yale maukoko ya juu (mahaba) huwa yanaraha sana kuyagegeda
Sent using Jamii Forums mobile app
Naaam better you boss! Hahaha.,.kwa sababu ya stress, na moyo kwenda mbio muda wote..me huwa nakula tu.Mimi siku hizi huwa naletewa kazini na binti fulani namlipa pesa.
Teh teh teh, bado humjajua tu huyu ni nani ???Stress hizi!
Hapana mimi ni baba mchungaji mkuu. Nilienda tu kula
Jinga kubwa unaweza kula tu ndio manaa unanenepa mpaka matako
Hahaha....dah huwa sifuatilii sana mijadala mingi humu ndani! Ila nimeangalia majibu yake.....nimepata mwanga kidogo...majibu yake yanachekesha mkuu.Teh teh teh, bado humjajua tu huyu ni nani ???
upo sahihi mkuu, ni kwamba hapo kuna long wave and short wave ndio maana kuna tofauti kati ya ladha ya mkaa na nishati zingine katika kupika ingawa mnaweza kuweka viungo sana au mpikaji ni yule yule na viungo vilevile ila ladha ikawa tofautiJiko la mkaa, chungu vinaongeza ladha ya chakula. Maharage au mchuzi uliopikwa kwenye chungu hauwezi kufananisha na kitu cha sufuria.
Nafikiri namna ya nishati ya joto inavyopenya na kuivisha chakula, kuna tofauti sana kati ya jiko la gesi, rice coocker zinatofautiana japo vyakula vyote vitaiva.
Ndio maana mkaa utatumia muda mrefu kulinganisha na umeme na hapo ndio siri ya mahanjumati ilipolala.