Hivi kwanini wali wa mkaa ni mtamu kuliko ule wa 'rice cooker'?

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
20,897
63,783
Wasalaam,
Mimi bwana huwa napikia wali kwenye Rice Cooker lakini juzi nimeenda kumtembelea dada moja ni Mzenji wali wake kwenye mkaa na wakati unapikwa nikasikia harufu ile nzuri nzuri kabisa.

Na wali wake ulivyotoka aisee niliona kabisa utofauti na ule wa Jiko la mzungu. Sasa wadau ili wali uwe vizuri ni lazima nifanye mabadiliko au mimi ndiyo sijui kupika ???
 
Wali kwenye rice cooker unatoka vizuri kuna zingine zinatoa hadi ukoko.

Mimi nadhani kwenye wali huweki viungo ndio maana, tupia garlic, au hiliki, au mdalasini, au binzari nyembamba, au karoti au tui la nazi.... hapo lazima kitu kinukie wakati kinachemka.

Lakini Mchele tu na mafuta hahaha.

NB: Jiko la mkaa au la kuni linapika vizuri sana wali kuliko majiko mengine.
 
Wali kwenye rice cooker unatoka vizuri kuna zingine zinatoa hadi ukoko.

Me nadhani kwenye wali huweki viungo ndio maana, tupia garlic, au hiliki, au mdalasini, au binzari nyembamba, au karoti au tui la nazi.... hapo lazima kitu kinukie wakati kinachemka.
Lakini Mchele tu na mafuta hahaha.

NB: Jiko la mkaa au la kuni linapika vizuri sana wali kuliko majiko mengine.
Aisee nimejaribu kila mbinu unatoka lakini hauwi mtamu kama ule niliokula juzi aisee.......
 
Wali kwenye rice cooker unatoka vizuri kuna zingine zinatoa hadi ukoko.

Me nadhani kwenye wali huweki viungo ndio maana, tupia garlic, au hiliki, au mdalasini, au binzari nyembamba, au karoti au tui la nazi.... hapo lazima kitu kinukie wakati kinachemka.
Lakini Mchele tu na mafuta hahaha.

NB: Jiko la mkaa au la kuni linapika vizuri sana wali kuliko majiko mengine.
Sasa kwa viungo vyote hivyo si bora upike tu pilau ilaa tuseme ukweli rice cooker minakuwaga kama inababuaa mchele ukiiva unakuwa kama sponge fulani yaani kuna kitu kinakosekana smae applied to jiko la umeme ilaa mkaa ni balaa
 
Wasalaam,
Mimi bwana huwa napikia wali kwenye Rice Cooker lakini juzi nimeenda kumtembelea dada moja ni Mzenji wali wake kwenye mkaa na wakati unapikwa nikasikia harufu ile nzuri nzuri kabisa na wali wake ulivyotoka aisee niliona kabisa utofauti na ule wa Jiko la mzungu. Sasa wadau ili wali uwe vizuri ni lazima nifanye mabadiriko au mimi ndiyo sijui kupika ???
Sidhan mkuu,
Embu angalia na aina ya mchele, usikute umepika mchele wa Kilombero.
 
Jiko la mkaa, chungu vinaongeza ladha ya chakula. Maharage au mchuzi uliopikwa kwenye chungu hauwezi kufananisha na kitu cha sufuria.

Nafikiri namna ya nishati ya joto inavyopenya na kuivisha chakula, kuna tofauti sana kati ya jiko la gesi, rice coocker zinatofautiana japo vyakula vyote vitaiva.

Ndio maana mkaa utatumia muda mrefu kulinganisha na umeme na hapo ndio siri ya mahanjumati ilipolala.
 
Wasalaam,
Mimi bwana huwa napikia wali kwenye Rice Cooker lakini juzi nimeenda kumtembelea dada moja ni Mzenji wali wake kwenye mkaa na wakati unapikwa nikasikia harufu ile nzuri nzuri kabisa na wali wake ulivyotoka aisee niliona kabisa utofauti na ule wa Jiko la mzungu. Sasa wadau ili wali uwe vizuri ni lazima nifanye mabadiriko au mimi ndiyo sijui kupika ???
Imani tu
 
Sa kwa viungo vyote hivyo si bora upike tu pilau ilaa tuseme ukweli rice cooker nminakuwaga kama inababuaa mchele ukiiva unakuwa kama spnge flani yaan kuna kitu kinakosekana smae applied to jiko la umeme ilaa mkaa ni balaa
Sijasema aweke vyote kwa wakati mmoja ndio maana nikaweka AU, AU, AU.

Nadhan labda na aina ya Rice Cooker pia, me yangu inatoa kitu fresh kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom