Hivi kwanini wali wa mkaa ni mtamu kuliko ule wa 'rice cooker'?

Sasa leo ijumaa ,nipeni ushauri nile wali Nazi + maharage Nazi kwa Mama Saidi

au niende kula biriani kwa mustapha
au Mandi pale Lumumba
Ama pilau la butiama

Mizuka km yote ya kula mchele Leo
Sehemu zingine nafikiri mnafuata majija na dili za mjini.
Butiama hakuna pilau zuri.
Nenda kwa Mustapha
 
Hayo makitu mandi,biriani nikila naendesha kwa speed kali sana...sijui ni mimi peke yangu? ....najilipuaga siku zikingine lakini Flagly inakuwa mfukoni
Umenikumbusha mbali sana pole mkuu.
Michemsho inakufaa zaidi
 
Umenikumbusha mbali sana pole mkuu.
Michemsho inakufaa zaidi
Yes AMU,michemsho haijawahi kunizingua na naipiga haswa...Umekumbuka wapi?hahaha,kuna kitu kitakuwa kishawahi kukuendesha wewe
 
Yes AMU,michemsho haijawahi kunizingua na naipiga haswa...Umekumbuka wapi?hahaha,kuna kitu kitakuwa kishawahi kukuendesha wewe
Hapana.
Kuna mshkaji tulikuwa na mahusiano.
Alikuwa anapenda tukitoka kazini ananirudisha home kupika na yeye anaenda kuzurura anakuja baadae kula.
Alikuwa anapenda sana njegere za nazi na wali nyama roast.
Sasa kila akila usiku lazima tumbo limvuruge.
Kesho tena tumbo anataka msosi.
Hiyo ilikuwa daily routine.
Kama baada ya wiki mbili ile hali iliisha.
 
Hahhahaaa..Such a memory,itakuwa hakuwahi kule njegere labda,au anakula nyingi sana.Baadae kaadapt baada ya kukomaa sana.
 
Hahhahaaa..Such a memory,itakuwa hakuwahi kule njegere labda,au anakula nyingi sana.Baadae kaadapt baada ya kukomaa sana.
Alishawahi kula.
Lakini hazikupikwa kama vile.
Sasa anakula kiroho sana na mlo mmoja kila siku.
Daaa
 
Alishawahi kula.
Lakini hazikupikwa kama vile.
Sasa anakula kiroho sana na mlo mmoja kila siku.
Daaa
Hahaha..pishi lako litakuwa hatari sana.,,Wanaume huwa tunategeka sana na misosi ya wake/wapenzi wetu
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hahaha..pishi lako litakuwa hatari sana.,,Wanaume huwa tunategeka sana na misosi ya wake/wapenzi wetu
Hapo hapo ndo una malizwa kichawi!! ukiona chakula kitamu!! weka jani la lumbu kidogo tu!! ukiona msosi wote unakuwa km damu usile!! ukitaka kumchanganya weka gamba la ngekewa!! utawaka moto kwa sahani na hapo lazima mke akuogope sana.
Hata ukiwa ugenini tembea nacho
 
Unajua hiki kitu me pia sijawahi kuelewa... kwann wali wa msibani unakuaga mtamu sana kuliko hata wali wa harusini?? LoL.
Unapikwa kwa maji zaidi na mafuta ya kuibia, hata wewe ukitaka wali mtamu, pika wali wa maji peke yake bila mafuta au weka mafuta kidogo sana baada ya wali kuiva.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom