Hivi kwanini Wajaluo wakigombea uongozi Serikali ya CCM inasema si raia?

Rabuor

JF-Expert Member
Jun 26, 2014
790
300
Hii imemtokea wenje mwanza mwaka 2010, kibaso temeke, mpaka sasa kuna jamaa alikuwa anawania uenyekiti Wa mtaa iringa kupitia CHADEMA, wamemrudisha mzobe mzobe mpaka kenya na jamaa kawambia kwetu ni hapa musoma hawakumwelewa uhamiaji.

Swali serikali haipendi Kabila la wajaluo au tatizo kugombea kupitia upinzani, naomba mjadala Wa busara zaidi kwasbbu kuna watu wamepata kadhia mara kwa mara na tatizo hili halikomi !

Tunaomba serikali ituambie kabila la wajaluo halipo Tanzania au lipo na je kwakuwa na kenya wajaluo wapo serikali ina uwezo Wa utambuzi kuwa huyu ni mjaluo Wa Kenya au mtanzania au hawana uwezo huo !
 
...Heri tutangaze Rorya kwetu ni nchi ya wajaluo basi,tumechoka ni uchinga wa waswahili,mimi nimekosa kazi serikalini eti nina majina ya kenya sijui nchi hii wao wanachua hussein,hemedi,rukia ndio majina ya kitanzania,hawajui sb ni wajinga tu........mimi nimeshabaguliwa sana maana jina langu ni Onyango Otieno so simply wanasema mkenya......ndio maana wanaingizwa mkenge na wahindi na waarabu.
 
Onge awach jarateng'
 
Hii imemtokea wenje mwanza mwaka 2010, kibaso temeke, mpaka sasa kuna jamaa alikuwa anawania uenyekiti Wa mtaa iringa kupitia CHADEMA, wamemrudisha mzobe mzobe mpaka kenya na jamaa kawambia kwetu ni hapa musoma hawakumwelewa uhamiaji.

Swali serikali haipendi Kabila la wajaluo au tatizo kugombea kupitia upinzani, naomba mjadala Wa busara zaidi kwasbbu kuna watu wamepata kadhia mara kwa mara na tatizo hili halikomi !

Tunaomba serikali ituambie kabila la wajaluo halipo Tanzania au lipo na je kwakuwa na kenya wajaluo wapo serikali ina uwezo Wa utambuzi kuwa huyu ni mjaluo Wa Kenya au mtanzania au hawana uwezo huo !
Ilivyo ni kwamba kabila la wajaluo lipo mpakani mwa Tanzania na Kenya,kwa hiyo wapo wajaluo wa Tanzania na wajaluo wa Kenya.

Kama vile walivyo wamakonde walioko kusini mwa Tanzania, kuwa wapo wamakonde wa Tanzania na wamakonde wa Msumbiji.

Hata hivyo ni mara chache sana wamakonde wa Tanzania kuwekewa pingamizi kuwa ni wamakonde wa Msumbiji, tofauti na Wajaluo wa mkoa wa Mara, ambavyo mara nyingi wanadaiwa kuwa ni wajaluo wa Kenya.

Lakini siri kubwa ya jambo hili iko hivi, watawala wetu wa CCM huwa hawaoni sababu ya kuwawekea pingamizi wamakonde wa Tanzania, kwa kuwa asilimia 99 ya wamakonde hao ni proCCM.

Tofauti kubwa inakuja kwa wajaluo wa mkoa wa Mara, ambao almost 99 percent ni antiCCM.

Kwa hiyo hapo jibu la moja kwa moja ni kuwa wajaluo huwa wanawekea mapingamizi kuwa siyo raia wa nchi, kwa sababu moja tu kubwa ya kuwa 'hawaishobokei' CCM!
 
nashukuru kwa maelezo yako nimejua jambo hapa
 
Back
Top Bottom