Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,300
- 20,971
Hivi kwanini vijana wengi hasa wale wa uswahilini na waimba singeli wanapenda sana kuongea kizulu kuliko lugha nyingine yeyote ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi hawajui hata kizulu,miaka ya tisini ilikuwa kama identity kuonyesha kwamba walishafika south,mpaka inatokea kijana akisikia kuna jamaa ametoka south unatafutwa ili mradi tu apewe michapo alafu baadaye azamie,wengi walikuwa wanarudishwa kama deportees.Hivi kwa nini vijana wengi hasa wale wa uswahilini na waimba singeli wanapenda sana kuongea kizulu kuliko lugha nyingine yeyote ?
unge orodhesha hayo maneno ya kizuru na sikuizi sauzi xi ishu tena wengi wankufa sana huko.
Mkuu unapata habari za vijiweni tuu hizo....
vpi mafanikio yao na wana mpango gani kuludi nyumbaniKipindi cha miaka ya 90 na mwanzoni mwa mwaka 2000, marafiki zangu wengi sana walizamia kwenda sauz.
Hilo tuunge orodhesha hayo maneno ya kizuru na sikuizi sauzi xi ishu tena wengi wankufa sana uko.....
kawaida tu.vpi mafanikio yao na wana mpango gani kuludi nyumbani
ndo nini kaka tafsiri mkuu.nimekaa mwaka sijaambua kituUkhisimusi omnandi.
kwel woza woza nimelisikia sana pindi nipo chuo...Hilo tu
Sawubona
yami
Umngane
Wena
Woza
Nk
ngothukazelisayo mkuuWengi wao walikuwa mastorway washaenda sana south, na kule wazuru wanaongea sana kizuru kuliko kiingereza. Kwahiyo nirahisi kwao kujua kizuru, ukikijua ni tamu sana. Siyabonga mfwetu, syapila, ufumapi eeh yaani ndo vile!!
ndawonye mfowesuUkhisimusi omnandi.
Umenikomeshea kabisa. Eaitah U sharp bro, sharp broo.ngothukazelisayo mkuu