Hivi kwanini Vijana wa CCM hushindwa kujenga HOJA?

Mwene chungu

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
916
751
Salute.
Natumai nyote mu wazima na mwaendelea vizuri vema na ujenzi wa taifa.
6cd10e155afb9ff86262b25a82549fd8.jpg

Ndugu zangu mim sina misingi ya chama chochote,naweza kujiita silent activist (mwanaharakati wa kimyakimya).

Nimekuwa mfuatiliaji wa mijadala ya kisiasa,kijamii,kiuchumi nk mitandaoni na hata kwenye platform zingine.

Nimegundua kitu kimoja Vijana wa CCM wanashindwa kwa kiwango kikubwa kupambana na wenzao kihoja.Badala yake wanatumia muda mwingi sana kushambulia MTU binafsi badala ya hoja.

Kwa mfano neno "Nyumbu" huwa kwao wanaamini ni tusi dhidi ya CDM,sasa zijui jina la mnyama ukimwita MTU linakuwa tusi? Basi kama ndivyo Simba wangelikimbia jina hilo.CHADEMA wao huwaita ninyi kama mu vijana wa "Lumumba"kuanzia hapa tu unaweza kupata logic yangu.

Matusi huwa ni Mali ya wachache,Hoja ni Mali ya wengi.

Ukiona unatukana na kutumia mabavu(nguvu)badala ya hoja,ujue huna hoja....Mnakumbka Mzee walioba kupigwa? Yote Yale ni matokeo ya kushindwa kihoja.Na vijana hawa wa CDM wamekuwa wapole(wanaonewa sana) na wataraatibu sana hasa kipindi hiki cha sheria ya mitandaoni.fuatlieni!!!...

Ushauri-Vijana wa CCM acheni kutegemea vitu ambavyo si vya kudumu,someni vitabu,na taarifa mbalimbali juu ya hoja na mambo duniani.Kwa mfano mdogo tu MTU anaibuka Leo kuwa Nyarandu amefukuzwa ccm ati kwa sababu alisafirisha Twiga.

Lakini ukweli Twiga wamesafrishwa November 2010,NA Wakati huo Nyarundu alikuwa Naibu Waziri wa Wizara nyingine kbsa.Amekuja kuwa Waziri wa Utalii na maliasili January 2014. Ni ni mfano tu,nenda huko mtandaoni uone vijana wa ccm mnavyondaganya!..

PLS ACHENI HOJA ZIPAMBANE,ZITUKANE,ZIGOMBANE,NA HII NDIYO DEBATE lakini siyo kuimpersonate watu individually, kwani watu wanaondoka na kubadlika lakini hoja hudumu milele!
 
Ni tatizo kubwa sana,tujifunze kujenga hoja ili kuwafanya wenzetu wawaze na kujifunza toka kwetu.ukizngatia kuwa watu wenye akili sana hujadili hoja(mawazo),wa kawaida hujadili matukio,na wajinga kbsa hujadili watu
 
Hata vijana wa CHADEMA wajenga hoja hakuna siku hizi

Siku hizi hoja zinajibiwa kwa matusi tena ya nguoni kabisa.......

Zama za hoja nzito na zenye mashiko zimekwenda na kina Mnyika.....sasa hivi ni kizazi cha matusi na kejeli na kushangilia hata mambo ya kipuuzi.......

Vijana wa CHADEMA wameishiwa nguvu za kuhoji hata mambo mepesi chamani bali wao ni kushangilia tu.......

Kila mmoja anaogopa kuitwa msaliti hivyo analazimika kushangilia huku mioyo inalia........

Akili zao na fikra zao wamewakabidhi viongozi ambao wamewageuza kama wanasesere.........wana kariri kile kinachonenwa na viongozi wao hata kama hakipatani na ukweli......

Ndio maana kiongozi akiwaambia huyu mwizi na hafai wao wanashangilia kesho tena huyo huyo akihamia kwao wanamuita malaika......sasa hapa ndio unaposhangaa akili za vijana hawa tunaoambiwa ni wamebobea kwenye kujenga hoja........

SIKU VIJANA WA TAIFA HILI WATAKAPOKUWA HURU KUTUMIA AKILI ZAO NDIPO ITAKAPOANZA SAFARI YA UKOMBOZI WA KWELI......
 
Mwingine huyu hapa. Ni rahisi kuwatambua kwa personal attacks zao. Utasikia tangu yule mbunge ahame sisiemu amekuwa na kibamia.

Na wengine wa upande wa pili utawasikia mbunge yule wa CCM Ni mwizi na fisadi lakini akihamia kwao ni mtakatifu na malaika......

Vijana wa taifa hili bwana.....
 
Hao wajenge hoja kwa akili ipi walio nayo? Kwani akili zao wamerudishiwa? usitengemee hoja kwa hawa vijana walio mkabidhi akili zao mwenyeki wao
 
Salute.
Natumai nyote mu wazima na mwaendelea vizuri vema na ujenzi wa taifa.
6cd10e155afb9ff86262b25a82549fd8.jpg

Ndugu zangu mim sina misingi ya chama chochote,naweza kujiita silent activist (mwanaharakati wa kimyakimya).

Nimekuwa mfuatiliaji wa mijadala ya kisiasa,kijamii,kiuchumi nk mitandaoni na hata kwenye platform zingine.

Nimegundua kitu kimoja Vijana wa CCM wanashindwa kwa kiwango kikubwa kupambana na wenzao kihoja.Badala yake wanatumia muda mwingi sana kushambulia MTU binafsi badala ya hoja.

Kwa mfano neno "Nyumbu" huwa kwao wanaamini ni tusi dhidi ya CDM,sasa zijui jina la mnyama ukimwita MTU linakuwa tusi? Basi kama ndivyo Simba wangelikimbia jina hilo.CHADEMA wao huwaita ninyi kama mu vijana wa "Lumumba"kuanzia hapa tu unaweza kupata logic yangu.

Matusi huwa ni Mali ya wachache,Hoja ni Mali ya wengi.

Ukiona unatukana na kutumia mabavu(nguvu)badala ya hoja,ujue huna hoja....Mnakumbka Mzee walioba kupigwa? Yote Yale ni matokeo ya kushindwa kihoja.Na vijana hawa wa CDM wamekuwa wapole(wanaonewa sana) na wataraatibu sana hasa kipindi hiki cha sheria ya mitandaoni.fuatlieni!!!...

Ushauri-Vijana wa CCM acheni kutegemea vitu ambavyo si vya kudumu,someni vitabu,na taarifa mbalimbali juu ya hoja na mambo duniani.Kwa mfano mdogo tu MTU anaibuka Leo kuwa Nyarandu amefukuzwa ccm ati kwa sababu alisafirisha Twiga.

Lakini ukweli Twiga wamesafrishwa November 2010,NA Wakati huo Nyarundu alikuwa Naibu Waziri wa Wizara nyingine kbsa.Amekuja kuwa Waziri wa Utalii na maliasili January 2014. Ni ni mfano tu,nenda huko mtandaoni uone vijana wa ccm mnavyondaganya!..

PLS ACHENI HOJA ZIPAMBANE,ZITUKANE,ZIGOMBANE,NA HII NDIYO DEBATE lakini siyo kuimpersonate watu individually, kwani watu wanaondoka na kubadlika lakini hoja hudumu milele!
Wajua kwa nini vijana wa ccm wanashindwa hoja? Hawana wakumlaumu isipokua viongozi wao. Ndo maana wanashinda kujenga hoja.
Uchafu na uwozo wote ndani ya nchi hii mpaka leo, ni ccm. Wanaokataza mikutano kwa hofu ya ukawa, ni wao. Ccm wanashindwa wamnyoshe kidole mpizani yupi kwa hali mbaya ya uchumi.
Kutwa kukanusha na matusi. Hukumsikia mkuu kule Arusha aliposema "wapimbavu hawa" wote wamezidiwa
Rais anasema tumechezewa na kuibiwa sana, unacheka. Tumeibiwa chini ya serekali ya nani na chama kipi?
Unapambana na rushwa, Mnyeti anakula cheo cha RC Babati. Vyeti feki, Bashite anaendelea. Kwa tabia hizi, vijana wa ccm hawawezi.
Wamebaki na awamu ya tano na Viwanda, dah!
 
Watajengaje hoja na wakati akili zote wamehamishia tumboni kwa njaa ?matumaini yao yamebaki,ktk matusi lugha za hovyo,vitisho kama alivyo bwana wao na bashite,ili waingize kipato hata kama ni kidogo,alimradi wapate mlo hata kama ni wa siku tu !.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom