Hivi kwanini unapotafuta mchumba wa kike lazima akuulizie mshahara wako? Kwani kuna uhusiano gani

mi nataka kujua kila kitu..

mshahara, nyumba, benk account

magari yote, nyumba ndogo ngapi unazo

ilitugawane sawa kwa sawa... etc

Teh! Teh! Teh! Unanivunja mbavu afro! Kujua kipato ni muhim kwa kweli, coz jamaa anaweza kuwa jambazi ukaja dhurika. Mke hapaswi kufichwa mambo hayo!

Akiniuliza na mie namuuliza wa kwake coz we depend on each other...hapa pia ni pagumu kwao,ni bora akwambie yameisha lakini asikutajie wa kwake,hizi ndo equality for enequalities ina marriages

mi nataka kujua kila kitu..
mshahara, nyumba, benk account
magari yote, nyumba ndogo ngapi unazo
ilitugawane sawa kwa sawa... etc
sawa kwa sawa kwa mchango upi ambao umeutoa....subiri uingizwe mkenge halafu mengineyo tutajibizana mbele ya msafara..................au chumbani vile...ambako hakuna anayeweza kutusikiliza isipokuwa Muumba...............................pekee yake.............

Back
Top Bottom