Hivi kwanini ukiishiwa hela, baadhi ya watu wa karibu wanakucheka, na kukukejeli waziwazi na kisirisiri

AlphaMale

JF-Expert Member
Oct 26, 2019
613
1,401
Nimeobserve hili swala, unakuta MTU amepiga bingo, labda kalipwa pensheni, au kashinda betting, au hustle zake zimemlipa pesa nyingi kidogo, watu wa pembeni wanaanza kusema, ahh flani kapata million 200, zile pesa zitaisha tu..

Kwamfano ikitokea umefilisika, watu wa karibu, especially marafiki, classmates, workmates etc wanaanza kukucheka, wanakukejeli na wanakukumbushia matumizi yako uliokua ukiyafanya kipindi una hela, ni kama wanafurahia ukiishiwa hela, nn kinasababisha hivyo..wakati wanajua pesa kuisha ni kitu natural kabisa..

Nawasilisha
 
Mkuu hiyo kawaida sasa ulitaka uchekwe na mbuzi au mbwa? Watakaokucheka na kukusema ni binadamu, huenda hata kuku wanakucheka sema huelewi lugha yao.
 
Nimeobserve hili swala, unakuta MTU amepiga bingo, labda kalipwa pensheni, au kashinda betting, au hustle zake zimemlipa pesa nyingi kidogo, watu wa pembeni wanaanza kusema, ahh flani kapata million 200, zile pesa zitaisha tu..

Kwamfano ikitokea umefilisika, watu wa karibu, especially marafiki, classmates, workmates etc wanaanza kukucheka, wanakukejeli na wanakukumbushia matumizi yako uliokua ukiyafanya kipindi una hela, ni kama wanafurahia ukiishiwa hela, nn kinasababisha hivyo..wakati wanajua pesa kuisha ni kitu natural kabisa..

Nawasilisha
Pesa kuisha siyo natural bali ni matumizi mabaya. Wanaokufanya hivyo wanataka ukumbuke ulivyokuwa unafuja pesa wakati ukiwa nazo. Wanakupa somo, kuwa kama utabahatika kuzipata tena uwe mwangalifu nazo. Unatakiwa ujue kuwa matumizi yako ya pesa ikiwa ni pamoja na matumizi binafsi na yale ya kuwasaidia watu waliyo karibu nawe yanakudidimiza na kukufanya usijifanyie mambo muhimu kama kujenga kibanda au kuzalisha kwa ajili ya kesho. Mimi nafurahia watu kama hao kuchekwa na kunyimwa misaada ili kesho wajue kuwa hawana ndugu zaidi ya mke na watoto wake. Hata ndugu zako wa damu wanakupenda kama ukiwa na cha kuwapa, ukifirisika wanakukimbia. LEARN SON, THAT IS THE NAKED TRUTH.
 
Binadamu ndivyo tulivyo, hua tunanunia mafanikio ya wengine na tunafurahia kufilisika kwa wengine...

Cc: mahondaw
 
Ndo ujue hawa wanaweza kuku ua wanakuchekea! hukujua adui yako ni yupi!!

iliwahi nitokea hivi miaka ya nyuma kidogo kuna litoto la mzee flani wa ukoo! lilisomea kwetu bana! sasa nikafaulu kwenda Sec, nikaliacha linasota kwa kurudia drs la saba! Mimi form iv nikafanya vibaya!! weee!!

Yaani lilifunga safari kutoka kwao kijijini kuja kunitweza na kunicheka kwetu na kunisimanga mjini kabisaa tena wazi wazi!!

Ok! siku zikaendaaa ktk pitapita yangu nikakutana na rafiki yangu mmoja wa zamani alikuwa anasoma masomo ya ziada jioni eti anataka kurudia Mtihani! nikamwambia wapi huko? na mimi nataka si akanionyesha njia!! hee! wee likawa kosa kubwa kwa maadui zangu!

Yaani sikumwambia mtu zaidi ya huyu alo niunganisha na hiyo channel.
! nilisoma muda mfupi tu. tukafanya Final exam. weee!! yaani nillichakaza ile Paper, mpaka mwalimu akasema sasa wewe dogo ulikosea wapi mbona uko vizuri tena sana. vumbi likaanzia hapo sasa...yaani

Hapo nikaingia Dunia nyingine kabisa ya wana Taaluma!! hallow! kwani wachekaji niliwaona tena wala sikutaka kuwajua tena nikapiga shule yangu kimya kwani walioniona tena? walinisikiaga tu Yule bwana mara Moshi, mara Dar mara Ohio, mara Sydney!

wakawa kimyaaa! nikwa delete mazimaa! hata sikutaka kujionyeshea kwao navopiga bao! lkn habari walizipata kwa wapambe! mmoja wao nilikutana nae kwenye Msiba Dar sikujenga ukaribu wa kiviile japo alitaka. kabisa! nikawa tofauti.

Yaani baada ya kukutana na huyu hasidi sikutia masimango ya kishamba bali ni ongea ongea ile ya lafudhi ya ki- Canada! mara ki Danish siyo kidanish! hata yeye alijua haya maji mafu haya! sikutaka kujenga ukaribu kabisa na watu km hawa! hata contact sikumpa! wanaweza kukuroga!
 
Wewe Uko kama MIE. Mana huwa wana energize sana tena sana. Kama huyo Binamu yako. Uwe unamuumiza sana kwa kuposti mafanikio yake smt unanukuu maneno yake.
Kuwa kilaza kafanya hichi na hichi labda alikuwa akikuita hivyo.
Binafsi huwa nawapendaje Hao jamaa huwa wananipa nguvu kama MIE. Binafsi sipendagi MTU anikubali Bali anidisi
 
Mkuu siwatakagi wani zoee yaani hapo ndo uchawi unaanziaga hapo! hivi hivi! mtu kama huyu kamwe hakupi mchongo! utadata husongi mbele! hata km anaujua sana atakusoma unachofanya anawahi yeye!!

sasa unaishi na mtu km huyu wanao wanamjua hata mkeo anamjua! kumbuka sisi ni binadamu leo upo kesho haupo na watu wa karibu kwa familia yako ni hao! wewe hukumuamini na familia yako haimjui vyema ina waamini huoni kuwa itapotea mazima kwa uzembe wako?.

make hawamjui kiundani.watamuweka karibu anawaharibia hawataamka tena kimaisha! utawapa wakati mgumu sana kuimarisha maisha yao, kwa nini uishi na watu wasio kutakia mema? tena wazi wazi! angalia kwanza Nyerere hakumchekea Kambona!

jiwe hakumchekea Nape Nnahuye Pamoja na kumsifu saaana Rais, siku ya siku alimpa makavu palepale ! ikawa mwisho na akamaanisha hivyo! Jiwe huyoooo! Nape kuleeeee!!! mpaka Nape akajistukia akaenda mwenyewe kupiga magoti hiyo safi!
 
Ukifilisika watu wa karibu yako wanakuona kama kamdoli kakuchekesha/mwanasesere
Ndo maana wengi wa kujitambua hufilisikia mbaaaliii huko! kuepuka kuchekwa kwani wewe uliwahi kumuona Mr Nice Dar?
Amebaki Dudu baya tu, hana pa kwenda usukumani thubutu! ndo kabisaa hatii mguui!

ametumiwa weee! na wamiliki wa U-Tube mpaka sasa yuko hoi! kachoka huyo amajificha Muhangara juu kule Pugu station! mara moja moja anashuka Pugu mnadani kuuza ng'ombe za wasukuma wenzie! anarudi tena ubabe wote kwishne lishe hana!!

Mkalii huyoo ukimtizama usoni saana kwa kumkazia macho! anakutukana! km kadata flani hivi mwenzie Mr Nice yuko Moshi pande za Same! anakunywa gongo kwa sana!
 
Nimeobserve hili swala, unakuta MTU amepiga bingo, labda kalipwa pensheni, au kashinda betting, au hustle zake zimemlipa pesa nyingi kidogo, watu wa pembeni wanaanza kusema, ahh flani kapata million 200, zile pesa zitaisha tu..

Kwamfano ikitokea umefilisika, watu wa karibu, especially marafiki, classmates, workmates etc wanaanza kukucheka, wanakukejeli na wanakukumbushia matumizi yako uliokua ukiyafanya kipindi una hela, ni kama wanafurahia ukiishiwa hela, nn kinasababisha hivyo..wakati wanajua pesa kuisha ni kitu natural kabisa..

Nawasilisha
hayo ni kwa afrika tu hapa hakuna anayetaka mwenzie awe zaidi au kuzidi yeye yaani kama kaaa ni kuvutana basi tu.
 
Ndo ujue hawa wanaweza kuku ua wanakuchekea! hukujua adui yako ni yupi!!

iliwahi nitokea hivi miaka ya nyuma kidogo kuna litoto la mzee flani wa ukoo! lilisomea kwetu bana! sasa nikafaulu kwenda Sec, nikaliacha linasota kwa kurudia drs la saba! Mimi form iv nikafanya vibaya!! weee!!

Yaani lilifunga safari kutoka kwao kijijini kuja kunitweza na kunicheka kwetu na kunisimanga mjini kabisaa tena wazi wazi!!

Ok! siku zikaendaaa ktk pitapita yangu nikakutana na rafiki yangu mmoja wa zamani alikuwa anasoma masomo ya ziada jioni eti anataka kurudia Mtihani! nikamwambia wapi huko? na mimi nataka si akanionyesha njia!! hee! wee likawa kosa kubwa kwa maadui zangu!

Yaani sikumwambia mtu zaidi ya huyu alo niunganisha na hiyo channel.
! nilisoma muda mfupi tu. tukafanya Final exam. weee!! yaani nillichakaza ile Paper, mpaka mwalimu akasema sasa wewe dogo ulikosea wapi mbona uko vizuri tena sana. vumbi likaanzia hapo sasa...yaani

Hapo nikaingia Dunia nyingine kabisa ya wana Taaluma!! hallow! kwani wachekaji niliwaona tena wala sikutaka kuwajua tena nikapiga shule yangu kimya kwani walioniona tena? walinisikiaga tu Yule bwana mara Moshi, mara Dar mara Ohio, mara Sydney!

wakawa kimyaaa! nikwa delete mazimaa! hata sikutaka kujionyeshea kwao navopiga bao! lkn habari walizipata kwa wapambe! mmoja wao nilikutana nae kwenye Msiba Dar sikujenga ukaribu wa kiviile japo alitaka. kabisa! nikawa tofauti.

Yaani baada ya kukutana na huyu hasidi sikutia masimango ya kishamba bali ni ongea ongea ile ya lafudhi ya ki- Canada! mara ki Danish siyo kidanish! hata yeye alijua haya maji mafu haya! sikutaka kujenga ukaribu kabisa na watu km hawa! hata contact sikumpa! wanaweza kukuroga!
Sasa siku ukichacha watakucheka sana. Nadhani mtoa mada imepata jibu ni kwa nini?. Wanakucheka kwa sababu ulipokuwa navyo uliwacheka.
 
Maweee! nachachia ktk ulimwengu mwingine kabisa! mtu hajui uko aje! kisiasa! kiuchumi! kiutamaduni ataanzia wapi kukucheka? niko anga zingine kabisa Mkuu! kitaaluma na kihali yaani yeye na wenzake kufika huku atambikie sana! lkn pia hanikuti! atambwelabwela tuu nje!

alijaribu lkn hakuamini alicho kiona na mzazi wangu Mkoani alijipanga vizuri sana tu! nilicho kiona ni mjinga sana yule mtu wewe una kejeli mrithi wa Patron wako? hivi ni akili kweli? alipogutukia kipindi flani akaomba ushauri kijanja nikampoteza sukuma kwa mzee huyo huyooo! atakusaidia!! kumbe nilisaidiwa na watu baki! basi wacha ajipendekeze bwana lkn Holaa! mimi huyooooo!
 
Back
Top Bottom