Hivi kwanini udom boom linachelewa kuingizwa?

MWL MTZ

Member
Aug 12, 2011
39
2
Miaka yote udom wanapata boom wakiwa wa mwisho ukilinganisha na vyuo vingine? some time wanapata ata baada ya miezi 2 kupita wanapofungua chuo? pesa ya field hivyo hivyo kwanini?
 
Sa unamuuliza nan hapa? Hiv kila chuo kikileta malalamiko yake hapa, patatosha! Kamuulize waziri wako wa mikopo mkuu. Usimind ni mtazamo tu!
 
Ni vzur kuulza lakn angalia ndugu saiv watu wanalalamika hawajapata mkopo,wewe unaleta habar ya mkopo kuchelewa!we c mwenze2 watafute wenzako ndo upost kitu kama icho,
 
Sa unamuuliza nan hapa? Hiv kila chuo kikileta malalamiko yake hapa, patatosha! Kamuulize waziri wako wa mikopo mkuu. Usimind ni mtazamo tu!

huo sio mtazamo ni UNAFIKI, juzijuzi udsm wametuletea masuala ya chakula kupanda bei chuon kwao na zile thread za mabibo nayo ni hostel ulikuwa wapi kuutoa mtazamo wako? Au uliona hzo thread znamchango gan ktk elimu yetu hii inayozid kudidimia. Leo hii ya udom ndo unajifanya ku-raise hyo hoja yako hii ya kinafki kwa mgongo wa mtazamo. Kama huna chakuchangia stay cool si lazma useme.
 
Sio kweli bhana! Inategemea uko batch ya ngapi. Ya 1 na 2 hupata mkopo wiki ya 1 au ya pili mpaka 3 baada ya chuo kufunguliwa. Nasoma huko na malalamiko mengne ni ya kipuuzi tu!
 
Miaka yote udom wanapata boom wakiwa wa mwisho ukilinganisha na vyuo vingine? some time wanapata ata baada ya miezi 2 kupita wanapofungua chuo? pesa ya field hivyo hivyo kwanini?

wanapata bum wa mwisho cuz wanakuwaga wa mwisho kufungua pia. Huwezi akapata boom sawa na m2 aliekwenda chuo tangu september...! Smtimes Muwage fair ktk kulalamika
 
Udom mnacheleweshewa mikopo kwasababu mpo wengi kama nzi yani, wakianza kuwapa mikopo nyinyi , mtawamalizia ela zao kabla wengine wajapata.
 
Nakumbuka pale at the Hill iwe pesa ya field au boom ilikuwa inaingizwa before two weeks or one week.Nadhani hii ilitokana na harakati za wanafunzi sisi wenyewe sasa wana UDOM jambo ili lipo mikononi na uwezo wenu msitake kila kitu kutatuliwa na wanajanvi just be strong,innovative,assertive katika kutetea maslahi yenu bila kufanya hivyo mtakaa na manunguniko tu na yawezekana ndo hata chuo chenu wanajamii wengine wamakidharau na nyie pia.
ZINDUKA UDOM.
 
Hawa watu wengine mnatudhalilisha wanafunzi wa udom kwa kupost mambo yasiyo na msingi kwa hiyo we hujui sababu? Aaah mi umenikera
 
Udom mnacheleweshewa mikopo kwasababu mpo wengi kama nzi yani, wakianza kuwapa mikopo nyinyi , mtawamalizia ela zao kabla wengine wajapata.

uropokaji kama huu utasababisha familia yako kufa njaa coz akili yako inafikiri milimeta moja usiandike tu mkuu.
 
Hapo sikufikiri, ila nimetoa wazo tu kwasababu nilikuwa na solve CALCULUS questionS! Nakubari mimi ni mkuu nandio mana huwa napenda kuchangia points kama hizo ili nione zinawachalenji vipi vijana !
 
hahahhah..kama nzi..hahaha..."ela zao"hahahhah
 
Hapo sikufikiri, ila nimetoa wazo tu kwasababu nilikuwa na solve CALCULUS questionS! Nakubari mimi ni mkuu nandio mana huwa napenda kuchangia points kama hizo ili nione zinawachalenji vipi vijana !

dah unazid kudisplay profile yako ya ujinga kwa hiyo ikitokea mkeo kaumwa ghafla utakurupuka kama hivi nimekuita mkuu nikitarajia ukuu umerudisha ukoko mtupu.
 
uropokaji kama huu utasababisha familia yako kufa njaa coz akili yako inafikiri milimeta moja usiandike tu mkuu.

vile vile kufikiri milimeta moja inamanisha nishafikiria kilometres, hektrometres ,decametres, metres, decimetres, centIMETRES Nyingi sana mpaka zimejaa na sasa nimeamua kufikiria rank hiyo hapo! Vile vile familia yangu aiwezi kufa na njaa kwani wote ni watu wenye kazi zao marekani, ukraine na whitechapel, nilobaki ni mimi tu ambaye nipo 6, kijana UDOM unasoma cozi gani hapo?
 
dah unazid kudisplay profile yako ya ujinga kwa hiyo ikitokea mkeo kaumwa ghafla utakurupuka kama hivi nimekuita mkuu nikitarajia ukuu umerudisha ukoko mtupu.

Hahahaha! Ukoko ni ukakasi mgumu unaogandamana kwenye vyombo vya kupikia kama vile sufuria, flampeni , n.k! Inaelekea kichachako kimejaa ukoko mtupu kijana? Hahaha,.. Au UDOM Ndo huwa mnakulasana ukoko?
 
Miaka yote udom wanapata boom wakiwa wa mwisho ukilinganisha na vyuo vingine? some time wanapata ata baada ya miezi 2 kupita wanapofungua chuo? pesa ya field hivyo hivyo kwanini?
Yah Wanajua kuwa wanafunzi wa UDOM mna mihela ya kutosha ndo maana hata mwaka jana mlimchangia Baba Riz milioni moja...!
 
vile vile kufikiri milimeta moja inamanisha nishafikiria kilometres, hektrometres ,decametres, metres, decimetres, centIMETRES Nyingi sana mpaka zimejaa na sasa nimeamua kufikiria rank hiyo hapo! Vile vile familia yangu aiwezi kufa na njaa kwani wote ni watu wenye kazi zao marekani, ukraine na whitechapel, nilobaki ni mimi tu ambaye nipo 6, kijana UDOM unasoma cozi gani hapo?

haya hongera
 
Back
Top Bottom