Sa unamuuliza nan hapa? Hiv kila chuo kikileta malalamiko yake hapa, patatosha! Kamuulize waziri wako wa mikopo mkuu. Usimind ni mtazamo tu!
Miaka yote udom wanapata boom wakiwa wa mwisho ukilinganisha na vyuo vingine? some time wanapata ata baada ya miezi 2 kupita wanapofungua chuo? pesa ya field hivyo hivyo kwanini?
Udom mnacheleweshewa mikopo kwasababu mpo wengi kama nzi yani, wakianza kuwapa mikopo nyinyi , mtawamalizia ela zao kabla wengine wajapata.
uropokaji kama huu utasababisha familia yako kufa njaa coz akili yako inafikiri milimeta moja usiandike tu mkuu.
Udom mnacheleweshewa mikopo kwasababu mpo wengi kama nzi yani, wakianza kuwapa mikopo nyinyi , mtawamalizia ela zao kabla wengine wajapata.
Hapo sikufikiri, ila nimetoa wazo tu kwasababu nilikuwa na solve CALCULUS questionS! Nakubari mimi ni mkuu nandio mana huwa napenda kuchangia points kama hizo ili nione zinawachalenji vipi vijana !
uropokaji kama huu utasababisha familia yako kufa njaa coz akili yako inafikiri milimeta moja usiandike tu mkuu.
dah unazid kudisplay profile yako ya ujinga kwa hiyo ikitokea mkeo kaumwa ghafla utakurupuka kama hivi nimekuita mkuu nikitarajia ukuu umerudisha ukoko mtupu.
Yah Wanajua kuwa wanafunzi wa UDOM mna mihela ya kutosha ndo maana hata mwaka jana mlimchangia Baba Riz milioni moja...!Miaka yote udom wanapata boom wakiwa wa mwisho ukilinganisha na vyuo vingine? some time wanapata ata baada ya miezi 2 kupita wanapofungua chuo? pesa ya field hivyo hivyo kwanini?
vile vile kufikiri milimeta moja inamanisha nishafikiria kilometres, hektrometres ,decametres, metres, decimetres, centIMETRES Nyingi sana mpaka zimejaa na sasa nimeamua kufikiria rank hiyo hapo! Vile vile familia yangu aiwezi kufa na njaa kwani wote ni watu wenye kazi zao marekani, ukraine na whitechapel, nilobaki ni mimi tu ambaye nipo 6, kijana UDOM unasoma cozi gani hapo?