Hivi kwanini Trump ana outsmart watu wengi ? Media combine Democratic Party

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Russian collusion, impeachment ( Ukraine scandal ) .Trump ameishia kidedea Democratic Party na member of the media wamechanganyikiwa. Sasa Hivi hamna cha kumfanya .Wafanye nini haswa Trump ashindwe

3C371ABE-5B4E-406F-B70C-F25917A1F9E4.jpeg
D7173AD4-24E0-49E9-BC3B-BC2CC25CB45A.jpeg
 
What about Russia Hoex??
Russia Investigation ametumia ofisi kuficha udhaifu wake kupitia Bill Barr, kimsingi Trump alikuwa na Makosa isipokuwa sheria ya Marekani hairuhusu Rais aliyepo madarakani kushtakiwa kisheria, bali hutumia taratibu za Kisiasa kupitia Congress, Na hatimaye Senate, lakini kuna mgawanyiko mkubwa kwenye Utawala, GOP wana Ikulu na Senate na hivyo ndio wanavitumia kuhakikisha kuwa Trump ashitakiwi, Mwisho wa siku wananchi ndio watakaoamua, Japo hii haiondoei nguvu ya kesi nyingi zinamzokabili Trump katika mahakama mbalimbali, Slama yake itakuwa akishinda Urais kwa muhula wa pili, Lakini akishindwa anaweza kuchezea jela.
 
Hakuna cha Bill Barr,the all Russia issue was a Hoex from the beginning..Robert Mueller hakuona any evidence kwamba Trump ali collude na Russia,hata wote waliokuwa kwenye compagn team ya Trump hakuna hata mmoja aliyekutwa na Tuhuma.Hata Director of National inteligence James Clapper,Alisema walishajua there was no Collusion since Feb 2016..
 
Robert Mueller aliona evidence isipokuwa sheria za DOJ haziruhusu Rais aliyeko madarakani kushitakiwa,summary ya Barr imeficha kila kitu.
Mueller alibanwa na sheria za DOJ ndiyo maana hakutoa conclusion ya findings zake Barr akaja na conclusion zake. INTEL community yote inajua nini kilitokea lakini kuweka Wazi ni kujivua nguo kwenye jumuia ya Kimataifa. Pia hata sasa INTEL wananusa mbinu nyingi chafu za interference, 45 anapinga kwa maslahi yake.
Soma hapa:
 
Hakuna cha Bill Barr,the all Russia issue was a Hoex from the beginning..Robert Mueller hakuona any evidence kwamba Trump ali collude na Russia,hata wote waliokuwa kwenye compagn team ya Trump hakuna hata mmoja aliyekutwa na Tuhuma.Hata Director of National inteligence James Clapper,Alisema walishajua there was no Collusion since Feb 2016..
Hoex = Hoax, I can just presume.
 
mkuu hiyo imekosa ushahidi wa 1*1.the same to clinton case. je alifanya ngono kweli ndani ya oval office?.
Kufanya ngono ofisini what has it to do na uwajibikaji wa mtu kwa kuweka strategies,kuzisimamia,kukuza uchumi etc.

Tena jamaa hakutaka apoteze muda wa kwenda gesti/hotel.

Unamkaza hapo ndani unaendelea na kazi.

Nipo na kajon mtembezi jamani

Sent using iphone pro max
 
Trump con man hana akili kama unavyofikiri anazo. Ukitaka kuona jinsi alivyo mjinga na ukakasi gani anawatia wamerekani angalia jinsi anavyohandle corona utapata majibu yote kwamba huyu bwana anapenda kutukuzwa mwamzo mwisho
Tungekupa taifa kama Marekani uwe rais, unge handle vipi Corona? Hebu tupe kifupi tuone kama una akili hizo unazodai ama la
 
Back
Top Bottom