Hivi kwanini Tanzania Wizarani kunakuwa na wafanyakazi wengi kuliko hata idara zinazoongozwa na Wizara?!

Yani ukienda wizarani au mkoani au wilayani, kuna watumushi wengi kuliko hata vitengo vinavyoongozwa na wao?!
Wizara ya Afya mmezidi, kwanini kazi za utawala zifanywe na madaktari bingwa?!
Utawala upi? Kama ni Ukurugenzi kwa mfano wa kitengo kinachohusu chanjo kwanini Daktari bingwa asiwe Mkurugenzi? Kama sijaelwa nieleweshe
 
Unataka kihoyo aongoze msomi?

Kwanini Daktari kwenye chanjo, cold chain coordinator walikua ma bwana afya siku zote, watoa chanjo ma nurse, kwanini mkuu wa kitengo awe Daktari?! Kwani mtu aliyesoma management hawezi kuongoza?!
 
Nimebahatika kufika ofisi za afya za state ya texas kule Austin, wanaita Department of health and human services ambayo ni sawa na wizara ya afya hapa kwetu yani wafanyakazi wachache sana, hata idara ya afya kinondoni ni wengi sana.
Wao wanafanya nini tofauti, au wanafanyaje kuweza kuwa na uchache wa wafanyakazi wizarani kwao kuliko sisi?!
 
Nadhani job descriptions zao ziko nyingi tofauti na wetu ndo maana wanakua wachache
 
Yani ukienda wizarani au mkoani au wilayani au manispaa kuna watumushi wengi kuliko hata vitengo vinavyoongozwa na wao?!
Wizara ya Afya mmezidi, kwanini kazi za utawala zifanywe na madaktari bingwa?!
Sio wuzarani tu hata wilayani mkoani au kwenye hospital pia wana chains za R/DMO Then anafuata mtawala my profession ambae ndio msimamizi kiutawala
 
Back
Top Bottom