Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 4,947
- 12,517
Kweli mkuu, kuna Ushongo Beach Club, Emayani, Mike Hotel ule ukanda wote wa Ushongo kuna fukwe na hotel nzuri kama upo Ibiza au Coppa Cabbana.Kuna hotel nyingi sana za kitalii na zina hadhi hapa Dar sijawahi kuona na mazingira yake ni mazuri na tulivu