Hivi kwanini Tanga hainyang'anywi hadhi ya kuwa Jiji? Ni sehemu ya ajabu sana

Harbour city(JIJI LA BANDARI,),TANGA.
TANGA KUNA HARBOURS CLUB,ni mahali pazuti kabisa,ni club iko kando ya Bandari,ni mahali pazuri.Nafikiri bado ipo.
 
Wenyewe Wanapambana Mkoa Yaani Jiji Ligawanywe
Kuwe Na Mkoa Wa Tanga, Na Wengine Waitwe Mkoa Wa Usambara.

Nakukumbusha Usishangae Tanga, Umefika Dodoma Lini Nalo Ni Jiji

Morogoro Yenye Hotels Nyingi Nzuri Inasubiri
Dodoma Ambayo Haiwezi Kupokea Wageni Wa Kimataifa
Ni Jiji
Bora Dodoma kuriko Tanga, kwanza dodoma ina hadhi ya jiji sana na iko nyuma kidogo ya arusha baada ya Dar&Mwanza
 
Nilichogundua wengi wanaoiponda TANGA hawaijui vizuri au wanapenda vurugu kama za Dar tena uswahilini
Tanga nimezunguka sana pale kipindi naishi pangani nilikua nafika TANGA mjini kununua bidhaa,, pia nilikua nikimtembelea Mpwa wangu aliyekua anasoma Raskazone (mitaa hii imetulia kama Oysterbay na ina majengo ya kibabe)
Pia kuna Hotel moja hivi ipo Ushongo huko inaitwa Club Beach Resort nilishawahi kwenda kufanya kazi flani ya siku mbili ipo pembezoni mwa bahari na ni hotel ya kitalii ufukweni mwa hotel kuna Bots na zile BODA BODA za kwenye Maji za kutosha)
Tanga ni sehemu nzuri sana ya kuishi kama una hela
NARUDIA TENA....KAMA UNA HELA NI SEHEMU MOJA NZURI SANA YA KUISHI

KAMA NI MTAFUTAJI KAMA MIMI TANGA HAPAKUFAI LABDA UWE UNATEGEMEA MSHAHARA

Ngoja nitafuta hela nikaishi TANGA RAHA
 
Tanga ni mkoa uliopata maendeleo zamani, nilishawahi kufika Pangani nakukuta nguzo za taa za barabarani za miaka mingi sana na mitaa iliyopangika vyema.
 
Nilichogundua wengi wanaoiponda TANGA hawaijui vizuri au wanapenda vurugu kama za Dar tena uswahilini
Tanga nimezunguka sana pale kipindi naishi pangani nilikua nafika TANGA mjini kununua bidhaa,, pia nilikua nikimtembelea Mpwa wangu aliyekua anasoma Raskazone (mitaa hii imetulia kama Oysterbay na ina majengo ya kibabe)
Pia kuna Hotel moja hivi ipo Ushongo huko inaitwa Club Beach Resort nilishawahi kwenda kufanya kazi flani ya siku mbili ipo pembezoni mwa bahari na ni hotel ya kitalii ufukweni mwa hotel kuna Bots na zile BODA BODA za kwenye Maji za kutosha)
Tanga ni sehemu nzuri sana ya kuishi kama una hela
NARUDIA TENA....KAMA UNA HELA NI SEHEMU MOJA NZURI SANA YA KUISHI

KAMA NI MTAFUTAJI KAMA MIMI TANGA HAPAKUFAI LABDA UWE UNATEGEMEA MSHAHARA

Ngoja nitafuta hela nikaishi TANGA RAHA
Ushongo Beach Club
 
Back
Top Bottom