Hivi kwanini Tanga hainyang'anywi hadhi ya kuwa Jiji? Ni sehemu ya ajabu sana

Kinachoiponza TAnga hakuna Wala Bata wengi

Waarabu na wahindj Hawanaga Mambo ya Bata

Ndio wametake over uchumi wa jiji

Ifact viwanja vya maaana sana hamna sababu mji uko well organized kimipango miji

Ukitaka kuwekeaa TAnga inabdi uwe na hela ya kununua nyumba ya mtu city center which is more expensive.
 
Hapa Nimetembea Pote Mipango, Michese, Mkonze, Chamwino, Ndachi, Itachukua Muda
Panda UDOM Kupitia Makuru Ndiyo Utaelewa Nasema Nini
Usiweke Siasa Maana Ukweli Huwa Unasimama Wenyewe
Nimetoka juzi tu hapa Christmas huko dom bado sana

Ila wanajitahidi

Kikubwa wauwahi huo mji huo mji usije fumuka ukawa na slum za kutisha Kama dar
 
Mara ya mwisho nimeenda Tanga miaka kama 6 hivi kulikuwa kumezubaaa! Sijui sasa hivi kukoje
 
Ila nadhani muda mwingine serikali huipa mikoa hadhi ya jiji ili kuipa chachu ya kukua! Shida no baadhi ya hao waliopewa hawajaamka mpk sasa ma kuitumia hiyo fursa ipasavyo
 
Nimetoka juzi tu hapa Christmas huko dom bado sana

Ila wanajitahidi

Kikubwa wauwahi huo mji huo mji usije fumuka ukawa na slum za kutisha Kama dar
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😁😀😂🤣😃😅😅😅😄😃🤣😂😁😀
 
Kwa nchi nyingi, Halmashauri yenye watu zaidi ya milioni 1 inakuwa jiji... kwaiyo Tanga inawatu zaidi ya 1milioni

Ikizidi milioni 10 hupewa hadhi ya Mega city
sio milioni moja, mji ukiwa na watu wanaozidi laki tano, iwe na vyuo, makao makuu ya wilaya ama mkoa, wakazi wake wengi wategemee shughuli zisizo za kilimo, iwe na viwanda na biashara, miundo mbinu mizuri pamoja na hadhi ya umanispaa, basi mji huo unapewa hadhi ya jiji.

hivyo ndivyo vigezo vya mji kuwa jiji kisheria, mbali na hapo ni siasa.

ila tanga mji bado hamjafikia idadi ya watu milioni moja. hiyo milioni moja unaipata kwa mkoa mzima wa tanga
 
Mtoa UZI uzuri wa watoto wa kitanga uzame nao ndani ndio utajua uziri wao ila kwa kujiwatzama tu usoni iv bac utalalamika mnoo
 
sio milioni moja, mji ukiwa na watu wanaozidi laki tano, iwe na vyuo, makao makuu ya wilaya ama mkoa, wakazi wake wengi wategemee shughuli zisizo za kilimo, iwe na viwanda na biashara, miundo mbinu mizuri pamoja na hadhi ya umanispaa, basi mji huo unapewa hadhi ya jiji.

hivyo ndivyo vigezo vya mji kuwa jiji kisheria, mbali na hapo ni siasa.

ila tanga mji bado hamjafikia idadi ya watu milioni moja. hiyo milioni moja unaipata kwa mkoa mzima wa tanga
Mkoa mzima
 
Duu, milioni moja mkoa mzima wa Tanga?
Lushoto pekee wapo laki 5, kwahiyo laki 5 waliobaki ndo wametapakaa kwenye hizo Wilaya nyingine sio? Korogwe, Handeni, Muheza, Kilindi, Pangani, Mkinga na Tanga, loooh, unataka kupigwa zongo wewe
 
Hivi kwa nini Tanga ni Jiji, maana naona pilikapilika kama za majiji mengine hazipo kabisa, ni Mji ambao umepoa mithiri ya Tabora, baiskeli huku ndio nyingi kuliko magari.

Vijiwe vya vijana vipo kila mahala, huku maisha ni mepesi sana, yaani ukiwa na 500 unakula ugali na mboga za majani.

Ukienda kula wali samaki unapewa kibua mzima na wali eti elfu 2. Nyumba za majani zipo mpaka katikati ya mji, nyumba zenye vibaraza vikubwa zile za kizamani ndio zimejaa.

Nyumba za matofali ya tope zipo kila mahala. Nyumba za miti pia bado zipo.

Wale wanawake wazuri wa Kitanga wala huku siwaoni kabisa, hivi hii ndio Tanga niliyokuwa naisikia nikiwa Dar es Salaam. Au kuna Tanga nyingine wakuu? Tofauti na hii ya Forodhani, Chumbageni, 16, Donge, Majani Mapana, Gofu Chini n.k.

Sehemu za kula bata Tanga hazipo kabisa. Wanawake wa huku wanapenda wageni sana kuliko wenyeji sijui kwa nini?

Kiukweli Tanga ni sawa na Tabora tu, Wala Tanga haina hadhi ya kuwa Jiji.
inawezekana ndio mara yako ya kwanza kwenda Tanga ,na unailinganisha Tanga na wapi??Wenye mamlaka washaona inafaa Tanga kuwa jiji ww ni nani wa kupinga.??

Ila tuache ujinga ukifika Tanga harafu ukarudi Dar kwa mtoto wa kiume lazima ujilaumu ,na usisahau kutembelea maeneo kama Donge kuna watoto wazuri hatari na hauitaji kutongoza wanakufuata wanakutongoza wenyewe .Nimeishi sana Pongwe pale wakati napga kazi kwny cement factory.

Hakikisha weekend unaenda maeneo kama Raskazoni kule beach yaani kama ww kiongozi laziiima utasema hii Tanga hiwe jiji potelea mbali😂😂😂
 
Duu, milioni moja mkoa mzima wa Tanga?
Lushoto pekee wapo laki 5, kwahiyo laki 5 waliobaki ndo wametapakaa kwenye hizo Wilaya nyingine sio? Korogwe, Handeni, Muheza, Kilindi, Pangani, Mkinga na Tanga, loooh, unataka kupigwa zongo wewe
sijaemsema mkoa mzima wa tanga una watu milioni moja tu, hapana, ni zaidi ya hao, ila tanga mjini pekee ambapo ndio jiji la tanga hakujafikia idadi ya watu milioni moja
 
inawezekana ndio mara yako ya kwanza kwenda Tanga ,na unailinganisha Tanga na wapi??Wenye mamlaka washaona inafaa Tanga kuwa jiji ww ni nani wa kupinga.??

Ila tuache ujinga ukifika Tanga harafu ukarudi Dar kwa mtoto wa kiume lazima ujilaumu ,na usisahau kutembelea maeneo kama Donge kuna watoto wazuri hatari na hauitaji kutongoza wanakufuata wanakutongoza wenyewe .Nimeishi sana Pongwe pale wakati napga kazi kwny cement factory.

Hakikisha weekend unaenda maeneo kama Raskazoni kule beach yaani kama ww kiongozi laziiima utasema hii Tanga hiwe jiji potelea mbali😂😂😂
Niko Tanga namalizia siku zangu 28 zilizobaki, nipaajabu huko Donge,Kange,Pongwe,Pande,nguvumali,majan mapana,magomen,mapinduz,makorola,raskazone,deep see,usagara,mwamboni, Airport,Magomeni nasehem nyinginezo nimefika...niko karibu na Gofu chini hapa mida hii.
 
Back
Top Bottom