simba tupo wengi
Senior Member
- Dec 23, 2019
- 154
- 132
Hao wanaotembea haraka wana tofauti gani na siafu? Ukishamaliza kuwaangalia hao wajapani, nenda kwenye kichuguu halafu fanya angalia kama Kuna tofauti.
Uvivu na UjingaWakuu,
Nimetembelea nchi kadhaa za Ulaya na Asia, kule watu wanatembea haraka haraka sana kuwahi kwenye mishe zao, lakini huku kwetu watu wanatembea taratibu kama konokono.
Tatizo ni nini?