ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,557
- 44,747
Awamu ya nne pamoja na kupambana na rushwa iliweza kuachia Uhuru wa watu kukemea maovu.mtakumbuka kipindi kile masanja akavuma na msemo wake wa "wizi mtupu".Serikali ilimwacha Kama msanii afanye kazi yake.
Ghafla mabadiliko makubwa yakatokea uwizi wa awamu ya tano tukaambiwa mahakama ya mafisadi ndo itahukumu vyombo vipo tukakatazwa kuibua ufisadi vyama vya upinzani vikakandamizwa Kama kwamba havikuwahi kuwa na mchango wowote,wasanii wote wakahamia upande wa kusifia wakuu.
Kwa hiyo msishangae hata yanayoendelea katika siasa zetu na maisha yetu Ni matukeo ya tulichokiamua kama taifa ila hatuko mahali pabaya Sana naomba tu tutunzeni amani tuliyonayo kwani ndio tunayojivunia Kama taifa.Haki itasimama tu Kama sio leo Basi kesho.