Hivi kwanini Raisi Magufuli na Rais Samia hawakupenda kabisa kukosolewa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,644
Awamu ya nne pamoja na kupambana na rushwa iliweza kuachia Uhuru wa watu kukemea maovu.mtakumbuka kipindi kile masanja akavuma na msemo wake wa "wizi mtupu".Serikali ilimwacha Kama msanii afanye kazi yake.
Ghafla mabadiliko makubwa yakatokea uwizi wa awamu ya tano tukaambiwa mahakama ya mafisadi ndo itahukumu vyombo vipo tukakatazwa kuibua ufisadi vyama vya upinzani vikakandamizwa Kama kwamba havikuwahi kuwa na mchango wowote,wasanii wote wakahamia upande wa kusifia wakuu.
Kwa hiyo msishangae hata yanayoendelea katika siasa zetu na maisha yetu Ni matukeo ya tulichokiamua kama taifa ila hatuko mahali pabaya Sana naomba tu tutunzeni amani tuliyonayo kwani ndio tunayojivunia Kama taifa.Haki itasimama tu Kama sio leo Basi kesho.
 
Mkuu ulivyowataja na kuweka neno "hawakupenda" ni kama vile na Rais Samia keshamaliza kipindi chake, au upo mbele ya muda ?
 
Samia ni matunda ya upumbafu wa Mwungano. More 15 years. I can’t believe she is the president.
 
15 years later. Tanzania kama Ulaya, mama bado ni rais baada ya katiba mpya kuondoa ukomo wa urais.

Mungu ampe maisha marefu mama yetu. Ongeza wigo wa tozo mama. Tupo nyuma yako.
 
Awamu ya nne pamoja na kupambana na rushwa iliweza kuachia Uhuru wa watu kukemea maovu.mtakumbuka kipindi kile masanja akavuma na msemo wake wa "wizi mtupu".Serikali ilimwacha Kama msanii afanye kazi yake.
Ghafla mabadiliko makubwa yakatokea uwizi wa awamu ya tano tukaambiwa mahakama ya mafisadi ndo itahukumu vyombo vipo tukakatazwa kuibua ufisadi vyama vya upinzani vikakandamizwa Kama kwamba havikuwahi kuwa na mchango wowote,wasanii wote wakahamia upande wa kusifia wakuu.
Kwa hiyo msishangae hata yanayoendelea katika siasa zetu na maisha yetu Ni matukeo ya tulichokiamua kama taifa ila hatuko mahali pabaya Sana naomba tu tutunzeni amani tuliyonayo kwani ndio tunayojivunia Kama taifa.Haki itasimama tu Kama sio leo Basi kesho.
You have done the whole 360 degree about turn.
Ulikuwa taga maarufu
 
Back
Top Bottom