Hivi kwanini Rais Magufuli anawajali wanafunzi kuliko waalimu

Walimu wote walifeli, ikashindikana kabisa kusomea ualimu ndiyo wakaamua kwenda kusomea ualimu.

watu wa namna hii ni waoga na hawajiamini. wanashukuru hata kwa hicho kidogo wanachopata, maana hawastahili kabisa kwa jinsi walivyofeli.

angalia kenya ambako ili uwe mwalimu lazima ufaulu na kuna bodi ya kusimamia taaluma ya ualimu, huwa wanaidindia serikali
 
Sikubaliani na wewe,UDSM ndio wanaongoza kudahili wanafunzi wengi wa Ualimu na kigezo ni div 1&2.
 
Mwalimu ni nani na ni nini? Achana na hiyo mdudu utakufa maskini!
 
Mnakumbuka zile push up jukwaani kipindi cha kampeni? tunajari misuri ya mwili kuliko akili!
 
Walimu wote walifeli, ikashindikana kabisa kusomea ualimu ndiyo wakaamua kwenda kusomea ualimu.

watu wa namna hii ni waoga na hawajiamini. wanashukuru hata kwa hicho kidogo wanachopata, maana hawastahili kabisa kwa jinsi walivyofeli.

angalia kenya ambako ili uwe mwalimu lazima ufaulu na kuna bodi ya kusimamia taaluma ya ualimu, huwa wanaidindia serikali
Kuna ukweli hapo
 
Walimu amueni na Ndugu zenu 2020 hiyo inakuja kwa kasi.
Toa kabisa ccm wakandamizaji,
#tumehuruyauchaguzi#
 
Back
Top Bottom