Hivi kwanini Rais Magufuli anawajali wanafunzi kuliko waalimu

Kigodoro, kwa mtazamo wako ualimu ni fani ya watu waliofeli!! Kama ni hivyo basi Tanzania nzima hakuna wasomi ukiwemo na wewe kwa kuwa walifundishwa na waliofeli hivyo waliofundishwa na failure wao ni failure zaidi.
 
Walimu wote walifeli, ikashindikana kabisa kusomea ualimu ndiyo wakaamua kwenda kusomea ualimu.

watu wa namna hii ni waoga na hawajiamini. wanashukuru hata kwa hicho kidogo wanachopata, maana hawastahili kabisa kwa jinsi walivyofeli.

angalia kenya ambako ili uwe mwalimu lazima ufaulu na kuna bodi ya kusimamia taaluma ya ualimu, huwa wanaidindia serikali
Kwahiyo we ulisoma wapi?. Kenya au Tz?. Km ulisoma Tz kumbe mbuzi wng ana akili kuliko ww!.
 
Walimu wote walifeli, ikashindikana kabisa kusomea ualimu ndiyo wakaamua kwenda kusomea ualimu.

watu wa namna hii ni waoga na hawajiamini. wanashukuru hata kwa hicho kidogo wanachopata, maana hawastahili

kabisa kwa jinsi walivyofeli.

angalia kenya ambako ili uwe mwalimu lazima ufaulu na kuna bodi ya kusimamia taaluma ya ualimu, huwa wanaidindia serikali

mmmh!nenda taratibu ndugu.Acha kuwakashifu na kuwakosea adabu waalimu waliokusha hapo ulipo.
 
Walimu ndo wasimamizi wa kuandika wapiga kura na kusimamia uchaguzi wakiamua SSM wanalala mbele mapema, waanze kujipanga mapema
 
Nasikitika mh rais kuwapuuza walimu akiendelea na tabia hii tutakutana kwenye Kituturi 2020.
wanafunzi bado watoto tunatakiwa kuwajali. waalimu hao wanatakiwa kunyooshwa kwanza.
 
Walimu wote walifeli, ikashindikana kabisa kusomea ualimu ndiyo wakaamua kwenda kusomea ualimu.

watu wa namna hii ni waoga na hawajiamini. wanashukuru hata kwa hicho kidogo wanachopata, maana hawastahili kabisa kwa jinsi walivyofeli.

angalia kenya ambako ili uwe mwalimu lazima ufaulu na kuna bodi ya kusimamia taaluma ya ualimu, huwa wanaidindia serikali
Walimu ni failure lakini walifanikiwa kukufundisha hata wewe kujua kusoma na kuandika kashfa kwao. Pole walimu.
 
Walimu wote walifeli, ikashindikana kabisa kusomea ualimu ndiyo wakaamua kwenda kusomea ualimu.

watu wa namna hii ni waoga na hawajiamini. wanashukuru hata kwa hicho kidogo wanachopata, maana hawastahili kabisa kwa jinsi walivyofeli.

angalia kenya ambako ili uwe mwalimu lazima ufaulu na kuna bodi ya kusimamia taaluma ya ualimu, huwa wanaidindia serikali
Acha kushambulia walimu wetu waliotufundisha kwa kujituma.hebu weka matokeo yako hapa tuone ukwel wa unalolisema
 
Hujawa specific, wajafunzi gani wachuo au??? Sababu hata wa chuo hawajaliwi, wamenymwa mkopo, hali ngumu vyuoni.. Sioni wanapojali
 
Walimu wote walifeli, ikashindikana kabisa kusomea ualimu ndiyo wakaamua kwenda kusomea ualimu.

watu wa namna hii ni waoga na hawajiamini. wanashukuru hata kwa hicho kidogo wanachopata, maana hawastahili kabisa kwa jinsi walivyofeli.

angalia kenya ambako ili uwe mwalimu lazima ufaulu na kuna bodi ya kusimamia taaluma ya ualimu, huwa wanaidindia serikali
Acha uzembe....unajua maana ya ku fail?
 
S/m nilifundishwa na walimu 7 wote walikuwa wa UPE.Lakini nilikuwa naingia kwenye 10 bora ya wilaya.Sijawahi kuwadharau walimu wangu pamoja na nimesoma kuliko wao.Heshima kwa walimu wangu hata sasa.Anaetukana Mwl ni mjinga na hajaelimika.
 
Nasikitika mh rais kuwapuuza walimu akiendelea na tabia hii tutakutana kwenye Kituturi 2020.
Mkuu naomba hapo kwenye wanafunzi urekebishe maana zaidi ya robo ya wanafunzi wa vyuo vikuu waliodahiliwa kwa mwaka 2016/17 hawajapata mkopo sasa sijui anawajali vipi
 
Kwanza rekebisha huu ujinga wako hapa. Unaweza kuuthibishia umma kuwa wewe in zao LA MTU aliyefeli kisha akakuwezesha wewe kufaulu? Hii itawezekana Tanzania tu kwa mtu aliyefeli kuwafaulisha wengine.
Kwa taarifa yako wengine hapa ni Kati ya wale waliopata alama za ufaulu wa div.I na tukaenda kusomea ualimu na hadi sasa in walimu. Kama umetumwa kuwakashifu waliokufikisha hapo ulipo kwa moyo wao wa upendo na uvumilivu ushindwe kuyafikia malengo yako mwaka huu.
Na kwa taarifa yako walimu wanajua wanachokifanya. Angalia matokeo ya wadogo zako ndio utawajua vema.
Walimu wote walifeli, ikashindikana kabisa kusomea ualimu ndiyo wakaamua kwenda kusomea ualimu.

watu wa namna hii ni waoga na hawajiamini. wanashukuru hata kwa hicho kidogo wanachopata, maana hawastahili kabisa kwa jinsi walivyofeli.

angalia kenya ambako ili uwe mwalimu lazima ufaulu na kuna bodi ya kusimamia taaluma ya ualimu, huwa wanaidindia serikali
 
Kibaya ni kwamba walimu wanapogoma watoto wa walala hoi ndo wanaumia maana si magufuli au waziri gani mbunge mwenye mtoto anayesoma hzo shule ambazo walimu wanalia maslahi kila siku kama ingewezekana ikawa union ya wananchi wote wanaoafhirika na dhulma hii wakapigana kwa pamoja
 
Shida ya nchi hii ni moja tu, ukweli huitwa tusi. Hivi hili la ualimu ni kada ya waliofeli linahitaji mjadala? ndiyo mnalisikia kwangu kwa mara ya kwanza? nawatusi walimu ama nasema ukweli? aliyefaulu vzr kidato cha 6 (mf div 1) anaweza kweli kwenda kusoma ualimu? ualimu kabisa ktk nchi hii? hata bamedi hapendi ualimu. waulizeni watoto wenu majumbani na shuleni uone kama kuna hata 1 atatamani ualimu. si bora ukawa machinga.
 
Back
Top Bottom