Hivi kwanini Rais Magufuli anashindwa kwa kila kitu anachogusa ?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,852
Utakiwi kuwa na PhD ili kuwa na wasiwasi juu ya vitambulisho vya Machinga kuwa ni mchongo wa watu kupiga pesa either au zitatumika ovyo.

Rais Magufuli alisema ni utambulisho mimi najiuliza kitambulisho gani hakina picha,Jina wala sahihi?

Kwanini kiwe hivi wakati magufuli mwenyewe wakati anamfukuza mkurugenzi wa nida mwaka 2016 alisema sababu moja wapo ni kitambulisho kutokuwa na sahihi nani wa kumwamini baada ya kuwapa watu vitambulisho visivyo na majina?

Kwanini vitambulisho visitolewe TRA na kwa wakurugenzi wa miji na maijiji?

Watu wasio na elimu ya biashara kama wakuu wa mikoa na wilaya na police wanaingiaje apa?..

Kwanini visiusishe wasomi wa fani usika kuliko watu wanaotumia nguvu kama sio kukurupuka ulishaona wapi kitambulisho kinatolewa kabla ya kuchukua detail za wausika..

Yaani unaamka asubuhi unawagawia watu kadi then unasema ni kitambulisho? Huu ni mzaha wa hali ya juu....

Wapinzani pia nawapa mchongo inawezekena inatengenezwa njia ya kuiba kula 2020 kwa kutumia data base ya watu hawa kuweni macho.

Napenda kumwambia Magufuli kwamba ili swala la vitambulisho magufuli kafeli na itamkost sana mtaani kishanuka watu hawaelewi kabisa...

Mtu anauza mchicha nyanya mtaji wa elf15 Buguruni unamwambia awe na kitambulisho ni akili au matope?

Magufuli kafeli kila k2 anachogusa sijui tatizo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sweden in Tanzania (@SwedeninTZ) Tweeted:
Today we had to change our morning routine: usually we start the day with a fresh copy of the #Citizen. Unfortunately it has been banned in #Tanzania for a week. Is this sanction proportionate to the offence purportedly committed? #PressFreedom

ccm kindakindaki unataka kusema hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkurupukaji,
Haeleweki, Hashauriki hivi vitambulisho havina maana yoyote, Zaidi ya usumbufu tu, Serikali haina pesa wanahaha ..
.. Mtu ambaye amesoma English tangu darasa la 3 hadi university ( phd ) lakini hata kujitambulisha tu ni Mtihani.. Leo aje kutolea Majibu ya Uchumi Tanzania ambao hakusomea..!!!

Jiwe kuna jambo moja anafanya vizuri 90% Visasi
 
serikali haina pesa,limited resources badala ya kupeleka pesa kidogo iliyopo kwenye mambo muhimu yenyewe inapoteza pesa kwenye vitambulisho,sina elimu ila ningeongoza vyema Tanzania..more than him..lol.
 
Mambo kama ya mzee Meko, yule wa mabush stars, ela imeisha yote kwenye mambo makubwa.
 
Magufuli namfananisha na mwanafunzi anayepata A+ kwenye somo moja huku akipata F kwenye masomo mengine yote. Ni ukweli ulio wazi kwamba Magufuli ubora wake uko kwenye miundombinu na ndio maana hata sasa anachojivunia ni miundo mbinu. Lakini kwenye ajira yuko hoi, uchumi ndio unayoyoma, kilimo kiko hoi na demokrasia ndio ziro kabisa. Hivyo tumempa urais mtu mwenye ubora kwenye eneo moja tu.

Katika mazingira haya tutegemee sifa za kulazimisha huku tukitarajia hata hiyo miundo mbinu kukwama kwani utekelezaji wa hiyo miundo mbinu unategemea matokeo mazuri kwenye hayo maeneo mengine. Wasiwasi wangu ni watu wanaomzunguka, huenda hawasikilizi au wanamuogopa kumuambia ukweli na ni dhahiri yeye ni mtu anayeumizwa na ukweli na hana uwezo wa kuuvumilia.
 
Sisi ambao tuna IQ kubwa tunaanza kuwa na wasiwasi juu ya vitambulisho vya Machinga..

Rais Magufuli alisema ni utambulisho mimi najiuliza kitambulisho gani hakina picha,Jina wala sahihi?

Kwanini kiwe hivi wakati magufuli mwenyewe wakati anamfukuza mkurugenzi wa nida mwaka 2016 alisema sababu moja wapo ni kitambulisho kutokuwa na sahihi nani wa kumwamini baada ya kuwapa watu vitambulisho visivyo na majina?

Kwanini vitambulisho visitolewe TRA na kwa wakurugenzi wa miji na maijiji?

Watu wasio na elimu ya biashara kama wakuu wa mikoa na wilaya na police wanaingiaje apa?..

Kwanini visiusishe wasomi wa fani usika kuliko watu wanaotumia nguvu kama sio kukurupuka ulishaona wapi kitambulisho kinatolewa kabla ya kuchukua detail za wausika..

Yaani unaamka asubuhi unawagawia watu kadi then unasema ni kitambulisho? Huu ni mzaha wa hali ya juu....

Wapinzani pia nawapa mchongo inawezekena inatengenezwa njia ya kuiba kula 2020 kwa kutumia data base ya watu hawa kuweni macho.

Napenda kumwambia Magufuli kwamba ili swala la vitambulisho magufuli kafeli na itamkost sana mtaani kishanuka watu hawaelewi kabisa...

Mtu anauza mchicha nyanya mtaji wa elf15 Buguruni unamwambia awe na kitambulisho ni akili au matope?

Magufuli kafeli kila k2 anachogusa sijui ana tatizo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anamuiga Bashite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli namfananisha na mwanafunzi anayepata A+ kwenye somo moja huku akipata F kwenye masomo mengine yote. Ni ukweli ulio wazi kwamba Magufuli ubora wake uko kwenye miundombinu na ndio maana hata sasa anachojivunia ni miundo mbinu. Lakini kwenye ajira yuko hoi, uchumi ndio unayoyoma, kilimo kiko hoi na demokrasia ndio ziro kabisa. Hivyo tumempa urais mtu mwenye ubora kwenye eneo moja tu.

Katika mazingira haya tutegemee sifa za kulazimisha huku tukitarajia hata hiyo miundo mbinu kukwama kwani utekelezaji wa hiyo miundo mbinu unategemea matokeo mazuri kwenye hayo maeneo mengine. Wasiwasi wangu ni watu wanaomzunguka, huenda hawasikilizi au wanamuogopa kumuambia ukweli na ni dhahiri yeye ni mtu anayeumizwa na ukweli na hana uwezo wa kuuvumilia.

It doesn't matter kama una uwezo wa kitu kimoja,na vingine huwezi.. in all honesty I don't think utapata mtu mwenye uwezo wa vitu vyote cha muhimu sehemu kama inahitaji 'ujuzi' then fanya kuajiri watu wenye ujuzi wakusaidie ….kuna mawili wanaomshauri vitu huwa wanafanya hivyo anapuuzia au hata hao washauri nao wamepwelea ujuzi...sijui haoni kama decisions zao zinatu cost kama taifa?
 
Back
Top Bottom