HIVI KWANINI POLISI WETU WANAPENDA.KUINGILIA FARAGHA ZA WADAU?

BOB LUSE

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
3,738
3,198
Sitaki kuongelea kesi iliyoko mahakamani kati ya polisi/jamhuri mlalamikiwa na JF mlalamikaji.
Niseme sipendi polisi wanapovunja sheria ili kupata wanachokitaka.baadhi yao weledi waliucha vyuoni kwao!
Hivi mimi mwananchi nikiwa na taarifa za uhalifu nikaziweka mtandaoni au vyombo vya habari vingine kuna haja gani ya kunitafuta mimi niliyetoa taarifa badala ya nyie kutumia taarifa hizo kufanya uchunguzi? Hivi kuna mwananchi mwenye imani na polisi kiasi cha kuja kuwapa taarifa laivu kwa namna mlivyochafuka na rushwa?!
Acheni usumbufu taarifa mnazozipata zifanyieni uchunguzi kama zina mashiko badala ya kusaka identity za watoa taarifa.hivyo ndo mlivyofundishwa vyuoni kwenu?! mkipata huyo mtu ili mumpe kesi ya kichwa?!
go back to your root! use law/order & ethics.
mchango kwa maafande unakalibishwa.epuka matusi na kujadili ya mahakamani.
 
Zaman ilikua polisi wana maintain order ila sasa order zina maintain police
 
Labda kwa sababu siri zingine tunazotoa zinawahusu polisi wenyewe, sasa kama tatizo ni hilo wangeongea na management ya JF ili threads zote zinazowahusu polisi ziwe zinaondolewa, mbona simple
 
Back
Top Bottom