Hivi kwanini passenger yuko underrated sana?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Huyu kaka anajua kuimba kuliko hata kina harry styles lakin sio popular kabsa. Instagram ana followers 400k na Twitter pia ana 400k. Youtube hana namba za kushangaza sana kwenye videos zake. Spotify vile vile.

Ana nyimbo nzuri lakin bado sio popular. Baadhi ya nyimbo zake ambazo kwa mimi nazipenda ni let her go, things that stop you dreaming na the wrong direction. Mara nyingi hua anaimba live youtube pia lakini hata watazamaji hapati wengi. Hivi kwanini huyu kaka yko underrated? Au vile hana mambo mengi kama ndio hivo mbona hata ed sheeran nae hana mambo mengi lakini ni popular na ana mafaniko ktk mziki wke?
 
Hawezi kuwa anatoa products nyingi kali kama Harry Styles..
 
Umesahau moja "and i love you" kutoka ni nature tu kama sio yako siyo mfano mwingine barnaba boy
 
Reggae version ya let her go by Martin
Better than the original

QUOTE="Mgiriki Jr VI, post: 38055099, member: 579024"]
Umeangalia let her Go ina views ngapi now ni more than one Billion
[/QUOTE]
 
We ni pumba kweli aisee

Songi lake la 'let her go' huko YouTube lina views 2billions afu unasema hana namba!???

Acheni kuchanganya bange na ugoro mnapovuta huwa inaleta volcano eruption ktk médula oblangata
 
Reggae version ya let her go by Martin
Better than the original

QUOTE="Mgiriki Jr VI, post: 38055099, member: 579024"]
Umeangalia let her Go ina views ngapi now ni more than one Billion
[/QUOTE]Japo umeandika pumba, ila ni maoni yako lazima yaheshimiwe...
 
Back
Top Bottom