Ndiyo maana nampenda sana mke wangu, ni kweli mke wa mtu ni mtamuHii imakaaje,... Nilishawahi kufanya hii dhambi,.. Nashukuru nimeweza kujinasua kwenye hili tatizo, maana ukishaingia huku, kutoka ni Kazi kweli kweli.... Mke wa mtu anakuwaga mtamu saaana halafu penzi lake ni matata na halichoshi....inasababishwa na nini hii kitu...
Ukisha owa basi utajuwa kwa nini mke wa mtu mtamuHii imakaaje,... Nilishawahi kufanya hii dhambi,.. Nashukuru nimeweza kujinasua kwenye hili tatizo, maana ukishaingia huku, kutoka ni Kazi kweli kweli.... Mke wa mtu anakuwaga mtamu saaana halafu penzi lake ni matata na halichoshi....inasababishwa na nini hii kitu...
Kumbevya wizi vitamu
kwani wewe hujui?Kumbe
Hahahaaaa... Nimeacha mkuu... Najua sio powa... Ndio maana nikasema, kujiondoa huko unahitaji sala... Maana kutamuSiku ukija nawe pigwa machine ndo utagundua kwanini mke wa mtu mtamu
HahahaaaaKama ni ngumu kutoka, mbona wewe umetoka, itakua hujawahi kunywa mirinda nyeusi wewe, hii ukionja hakuna namna ya kutoka.
Kweli aiseekwani wewe hujui?
Nilitenda dhambi sawa, ila ni tamuUsitamani Mke wa jirani yako
HahaHivi unajua hata makinika yako pia ni matamu hvo hvo?