Mke wa mtu mtamu jamani, acheni tu...

Psychologically tunaita hali hiyo EGO...pia kwenye feelings zako ulikua unajipa competitive advantage over her husba' pia ukijiona we ndo mshindi..hii fikra ndo inakupa hamasa na kuongeza maujanja ukijiona we ndo wewe...ni suala la kisaikoloji zaidi.
Mkuu bila unafiki nakubaliana na wewe asilimia zote, hii kweli imekaa kisaikolojia zaidi
 
Kuna mke wa Mjeda mmoja anafanya kazi pale Upanga - Ngome anachekeachekea sana siku za hivi karibuni ngoja nimlie timing na mimi nitest nijue
Akikudaka mjeda atakupeleka kambi ya jeshi kule sumbawanga porini kabisa pembezoni mwa ziwa Tanganyika, kuna wajeda kule watakula 0713 yako mpaka uchanike kijambio hicho. Mkuu nakushauri utafute wengine
 
Ni kwa sababu hofu ya mwenyezi mungu imetoweka vifuani mwa wengi.hata wasizitii sheria zake.
Ndio maana wanavunja amri kuu ya sita(6) ya mungu kwa wanadamu.

Bt mungu pekee ndiye mkamilifu.msamehevu na anapenda kusamehe..
Tumtake msamaha na tubadilike,turudi katika njia sahihi...

Uzinzi ni haramu
Tendo la ndoa ni halali
So kila jambo mungu kaliwekea alternative,ila tu tufate taratibu
Amen !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ukifumaniwa na mwenye mke ni sawa na kukutana na Al-shabab!
Omba sana mla wake za watu usikamatwe.
Mpaka aje akushike umeshamla na kumpa ujauzito, jamaa atakupa kiminyo mambo yataisha lakini ujue atakuwa analea watoto wasio wake
 
Nilishawahi kumgegegeda mmoja ila mwanzo alikuwa amenidanganya kuwa hajaoelewa, nilipogundua kuwa ni mke wa mtu nilishangaa nazidisha hisia kwake. Sasa ndio najiuliza kwanini ukijua ni mke wa mtu unakuwa unampenda zaidi na kumwona wa thamani ?

Tabia uliyozoea haiachi mwili...
 
Hii imakaaje?

Nilishawahi kufanya hii dhambi,.. Nashukuru nimeweza kujinasua kwenye hili tatizo, maana ukishaingia huku, kutoka ni Kazi kweli kweli.

Mke wa mtu anakuwaga mtamu saaana halafu penzi lake ni matata na halichoshi....

Inasababishwa na nini hii kitu...?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom