Hivi kwanini mke wa mtu ni mtamu....

Nanoli

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
3,683
2,000
Hii imakaaje,... Nilishawahi kufanya hii dhambi,.. Nashukuru nimeweza kujinasua kwenye hili tatizo, maana ukishaingia huku, kutoka ni Kazi kweli kweli.... Mke wa mtu anakuwaga mtamu saaana halafu penzi lake ni matata na halichoshi....inasababishwa na nini hii kitu...
 
Nleterewa Nganengo

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
4,889
2,000
Kama ni ngumu kutoka, mbona wewe umetoka, itakua hujawahi kunywa mirinda nyeusi wewe, hii ukionja hakuna namna ya kutoka.
 
Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,171
2,000
Hii imakaaje,... Nilishawahi kufanya hii dhambi,.. Nashukuru nimeweza kujinasua kwenye hili tatizo, maana ukishaingia huku, kutoka ni Kazi kweli kweli.... Mke wa mtu anakuwaga mtamu saaana halafu penzi lake ni matata na halichoshi....inasababishwa na nini hii kitu...
Ndiyo maana nampenda sana mke wangu, ni kweli mke wa mtu ni mtamu
 
emt45

JF-Expert Member
Jan 19, 2017
566
1,000
Hii imakaaje,... Nilishawahi kufanya hii dhambi,.. Nashukuru nimeweza kujinasua kwenye hili tatizo, maana ukishaingia huku, kutoka ni Kazi kweli kweli.... Mke wa mtu anakuwaga mtamu saaana halafu penzi lake ni matata na halichoshi....inasababishwa na nini hii kitu...
Ukisha owa basi utajuwa kwa nini mke wa mtu mtamu
 
GUGA II

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
579
500
Sio suala la utamu hapo ni suala la kupiga bure bure tuuuu ndo linahalalosha huo utamu,angekua anakudai kodi na mambo mengine ungemuona nuksi sanaaa
 
jike la simba

JF-Expert Member
Jan 3, 2017
496
500
Kachaguliwa kwa umakini na usaili wa mchaguaji na wengi walipigwa chini kwenye usaili na ubora ukapatikana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom