ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 482
- 1,053
Wadau hili suala sijui ni La kisayansi au sijui niliiteje .napata tabu sana nawaza hivi kwanini matunda yanakuwa na msimu yaani mfano sasa hivi uwezi kupata chungwa wala chenza ni Msimu wa Embe.
Mara msimu wa nanasi au hii inatoka nasisi wakulima tunavyopanda au ebu wataalam mtujuze kwanini matunda yanakuwa na msimu.ila dafu halina msimu pia.
Mara msimu wa nanasi au hii inatoka nasisi wakulima tunavyopanda au ebu wataalam mtujuze kwanini matunda yanakuwa na msimu.ila dafu halina msimu pia.