Hivi kwanini makondakta wa daladala wanawalipa wale wanaojiita wapiga debe?

Nje ya mada ingawa inahusu wapiga debe!
Miaka ya tisini mwishoni wakati bado ni mdogo nilikuwa na katabia kakuzurura Dar-mwenyewe nlikuwa naita utalii wa kulifaham jii la Dar. Nyumabni palikuwa Manzese. Sasa ile mzee akinipa tu 100/-, basi naweza toka home naenda panda daladala naenda kitongoji chochote cha Dar ambacho nilikuwa nakisikia tu mfano Mbagala, Temeke, Gongo la mboto, Kawe nk.

Sasa nilikuwa nshazurula vitongoji vingi tu ikawa imebaki hii ya njia ya Morogoro. Nikaanza na Kimara kisha Mbezi na Kibamba. Ikawa imebaki Kiluvya.

Nakumbuka kuna siku asubuhi tu ya saa tatu alikuja mjomba nyumbani akanipa 100/- ya kutumia na ilikuwa ni mwezi wa Ramadhan nikiwa nimefunga nikaona Yes sasa ngoja nikatembee kiluvya nikirudi jion nakuja kufuturu.

Niaktoka zangu nyumbani mpaka stendi, enzi hizo daladal za kiluvya zipo mbili sijui moja kutoka kkoo, bahati nafika stendi tu na gari la kiluvya hilo lilikuwa ni DCM. Nikapanda nikaanza safari kufijka ubungo konda akadai nauli nikampa 50/- nikabakiwa na 50/-. Gari ikaenda mpaka mbezi karibu abiria wengi walishuka yaani ikawa ni kama inaazna kupakia upya. Kutoka mbezi ikaanza safari ya kwenda kiluvya.

Konda akadai tena nauli nikamwambia nilikulipa tayari akajibu huwezi toka manzese mpaka kiluvya kwa 50- ongeza nauli, cha ajabu badala ya kushuka nikaona ngoja nimpe tu ntarudi kwa miguu. Nikalipa nauli nikatulia sasa hapo akili yote inawaza jinsi ntakavyotemebea kwa miguu toka kiluvya mpaka manzese.

Gari ikafika kiluvya kama saa tano hivi asubuhi nikashuka, nikashangaa shangaa pale enzi hizo pako kimya sana nyumba sio nyingi majani kibao. Ilipofika saa sita nikaanza safari ya kurudi sasa.

AIsee sisahau ile siku nilitemebea mpaka kufika mbezi nimechoka ile mbaya huku nimefunga hapo nshanawa uso kila nap[okuta maji yanatiririka sehemu. Mida hiyp ya ssa kumi jioni mabasi kutoka mbeya enzi hizo Lucky star, hekima, masia tour, matema beach ndio yanaingia dar. Basi nikajikongoja toka mbezi mpak kimara stop over nilifika mida ya saa kumi na mbili hivi jioni .

Hapo nikawa nimechoka sana yaani hata kutemebea siwezi nikajisogeza mpaka stendi nikajiinamia kidogo nifanyaje, niakona sina jinsi ngoja tu niombe watu wanisaidie nauli maana siwezi tena kutemebea hata mita kumi bila kupumzika.

Nikamcheck jamaa mmoja kavaa vizuri tu kapendeza nikasema huyu atanisaidia tu , dah nikamsogelea na kumueleza shida yangu akamiangalia akasonya. Nilijisikia vibaya sana. Nikasubiri kidogo ili yule aondoke nikamsogelea mwingine nae kavaa vizuri nikamweleza shida yangu akaishia kunijibu "toka hapa".

Baada ya hapo nikapoteza nguvu ya kuopmba tena msaada nikajikalia chini tu sijui nifanyeje.

Sasa hapo nipo stop over daladala zinakuja zinashusha abiria zinapakia tena wapiga debe wanafanya yao gari zinasepa. Baada ya muda nikakata shauri ngoja nimjaribu mpigandebe alikuwa rafu kweli kupita maelezo ni vile nahitaji msaada sina namna. Basi nikamsogelea nikamsalimia nikamweleza shida yangu akaniambia subiri,.

Ikaja daladala inaenda kkoo akaanza kupiga debe kjwenye hiyo daladala akaniambia panda niakpanda ingawa nikawa nasita nikaenda kukaa kwenye mfuniko wa injini [pale [emebeni ya dereva wale waliopnada DCM enzi hizo watanielewa.

Yule jamaa akaniambia usikae hapo kaa kwenye siti. Nikakaa kwenye siti gari ilipojaa ilipotaka kuondoka wajkati konda anataka kumpa ela yake ya upigaji debe, akamjibu usinipe hoyo nauli ya mdogo angu yule pale mfikishe manzese.

Ile kitu sitosahau kwa kweli Mungu ambariki jamaa yule popote alipo.
 
KUNA WATU MNATAMANI WASIO NACHO WASIWE NACHO MILELESIO POA AISEE YULE NI BINADAMU KAMA WEWE,ANA FAMILIA KAMA WEWE NA ANAHITAJI KUPATA MAHITAJI MUHIMU KAMA WEWE

ULE NI MGAWANYO TU WA KAZI KAMA WE NI MGENI WA SEHEMU WALE JAMAA NI MSAADA SANA KWA ALIYEWAHI KUPOTEA ANAELEWA NINI NAMAANISHA....HUKU MIKOANI WANACHUKUA HADI JERO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nje ya mada ingawa inahusu wapiga debe!
Miaka ya tisini mwishoni wakati bado ni mdogo nilikuwa na katabia kakuzurura Dar-mwenyewe nlikuwa naita utalii wa kulifaham jii la Dar. Nyumabni palikuwa Manzese. Sasa ile mzee akinipa tu 100/-, basi naweza toka home naenda panda daladala naenda kitongoji chochote cha Dar ambacho nilikuwa nakisikia tu mfano Mbagala, Temeke, Gongo la mboto, Kawe nk.
Sasa nilikuwa nshazurula vitongoji vingi tu ikawa imebaki hii ya njia ya Morogoro. Nikaanza na Kimara kisha Mbezi na Kibamba. Ikawa imebaki Kiluvya.
Nakumbuka kuna siku asubuhi tu ya saa tatu alikuja mjomba nyumbani akanipa 100/- ya kutumia na ilikuwa ni mwezi wa Ramadhan nikiwa nimefunga nikaona Yes sasa ngoja nikatembee kiluvya nikirudi jion nakuja kufuturu. Niaktoka zangu nyumbani mpaka stendi, enzi hizo daladal za kiluvya zipo mbili sijui moja kutoka kkoo, bahati nafika stendi tu na gari la kiluvya hilo lilikuwa ni DCM. Nikapanda nikaanza safari kufijka ubungo konda akadai nauli nikampa 50/- nikabakiwa na 50/-. Gari ikaenda mpaka mbezi karibu abiria wengi walishuka yaani ikawa ni kama inaazna kupakia upya. Kutoka mbezi ikaanza safari ya kwenda kiluvya. Konda akadai tena nauli nikamwambia nilikulipa tayari akajibu huwezi toka manzese mpaka kiluvya kwa 50- ongeza nauli, cha ajabu badala ya kushuka nikaona ngoja nimpe tu ntarudi kwa miguu. Nikalipa nauli nikatulia sasa hapo akili yote inawaza jinsi ntakavyotemebea kwa miguu toka kiluvya mpaka manzese.
Gari ikafika kiluvya kama saa tano hivi asubuhi nikashuka, nikashangaa shangaa pale enzi hizo pako kimya sana nyumba sio nyingi majani kibao. Ilipofika saa sita nikaanza safari ya kurudi sasa.
AIsee sisahau ile siku nilitemebea mpaka kufika mbezi nimechoka ile mbaya huku nimefunga hapo nshanawa uso kila nap[okuta maji yanatiririka sehemu. Mida hiyp ya ssa kumi jioni mabasi kutoka mbeya enzi hizo Lucky star, hekima, masia tour, matema beach ndio yanaingia dar. Basi nikajikongoja toka mbezi mpak kimara stop over nilifika mida ya saa kumi na mbili hivi jioni .
Hapo nikawa nimechoka sana yaani hata kutemebea siwezi nikajisogeza mpaka stendi nikajiinamia kidogo nifanyaje, niakona sina jinsi ngoja tu niombe watu wanisaidie nauli maana siwezi tena kutemebea hata mita kumi bila kupumzika.
Nikamcheck jamaa mmoja kavaa vizuri tu kapendeza nikasema huyu atanisaidia tu , dah nikamsogelea na kumueleza shida yangu akamiangalia akasonya. Nilijisikia vibaya sana. Nikasubiri kidogo ili yule aondoke nikamsogelea mwingine nae kavaa vizuri nikamweleza shida yangu akaishia kunijibu "toka hapa".
Baada ya hapo nikapoteza nguvu ya kuopmba tena msaada nikajikalia chini tu sijui nifanyeje.
Sasa hapo nipo stop over daladala zinakuja zinashusha abiria zinapakia tena wapiga debe wanafanya yao gari zinasepa. Baada ya muda nikakata shauri ngoja nimjaribu mpigandebe alikuwa rafu kweli kupita maelezo ni vile nahitaji msaada sina namna. Basi nikamsogelea nikamsalimia nikamweleza shida yangu akaniambia subiri,.
Ikaja daladala inaenda kkoo akaanza kupiga debe kjwenye hiyo daladala akaniambia panda niakpanda ingawa nikawa nasita nikaenda kukaa kwenye mfuniko wa injini [pale [emebeni ya dereva wale waliopnada DCM enzi hizo watanielewa. Yule jamaa akaniambia usikae hapo kaa kwenye siti. Nikakaa kwenye siti gari ilipojaa ilipotaka kuondoka wajkati konda anataka kumpa ela yake ya upigaji debe, akamjibu usinipe hoyo nauli ya mdogo angu yule pale mfikishe manzese.
Ile kitu sitosahau kwa kweli Mungu ambariki jamaa yule popote alipo.
Nime jifunza mtu akikuomba msaada kama unacho msaidie tuu bila kujali

So touching aisee 😭
 
Kazi za watu hizo mzee, kuna jamaa mpiga debe kituo fulani cha daladala namfahamu huu mwaka zaidi ya kumi ndio issue yake inamuweka mjini.
 
Mkuu njia bora ya kumlipa yule mpiga debe aliyekusaidia ni wewe pia kusaidia atakayetaka msaada kwako,Ulichagua waliokua wamevaa nadhifu ila hawakukusaidia,akaja mpiga Debe akakusaidia,hapo kuna funzo kubwa sana,Asante sana kwa kushare hii story.
 
Ha ha h nadhani ni mfumo tu wa kulindana kimaisha. Ila cha ajabu wasipopewa huwa hapakaliki
 
unataka tukale wapi mkuu?wenzio tumejenga hapa mjini kwa kudunduliza hizi Mia mbili mbili unazoona tunapewa
 
WANAJIITA KITENGO....na usipotoa PESA kwa kudharau kama ni MATEJA...wanakuja VIJIBABA. NA MWILI KAMA NYUMBA....jasho litakutoka..
Yaani inanishangaza, iweje mtu kasimama tu aseme tu labda Nyegezi mkolani Buhongwaa, au reli buguruni k/kooo.... Af wakati gari inang'oa konda anamwachia mia mbili au anamwambia subiri nirudi.

Jamani inakuaje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom