Hivi kwanini makondakta wa daladala wanawalipa wale wanaojiita wapiga debe?

ushoroba wa kati,
Sometimes hao wapiga debe na wao walikuwa ni makondakta ila baadaye wakakosa gari, kwa hiyo kuna kujuana.

Pia kuna wazinguaji wakikuona unakaza sana, wanatafuta msumari au chuma kikali wanakiegesha chini ya ganda la chungwa halafu wanakuwekea chini ya tairi la gari lako wakati dereva wako hajui.

Ile mnaondoa gari tu mnatoboa tairi.
 
Sasa eti unakuta saa 2 usiku kkoo mbagala/gongo la mboto eti kuna wapiga debe wakati abiria wao ndo wanapigania magari...na sikuizi wanaomba jero
 
Nilishangaa kusikia eti hao wapiga debe wana serikali yao na wanalipa kodi na bima ya afya.
 
Sasa kuna watu wanasema et ni "kusaidiana" maisha kweli? kivipi mnamsaidia?

Sasa mwingne anasema et kazi yake ni kukonvisi abiria, really? yaani kivip? ablria anajua apendacho na isitoshe karibu abiria woote tushajua kua hao huongopa wanavyokuita kwenye gaari fulani.

Kingine mtu anajua anapoenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom