hivi kwanini madokta story zao ni pombe na hela tu (mishara juu) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi kwanini madokta story zao ni pombe na hela tu (mishara juu)

Discussion in 'JF Doctor' started by kupe, Oct 1, 2012.

 1. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  ukifuatilia kwa undani zaidi . hata ulimboka alitekwa bar . ma dokta asilimia 90 wanaongelea mishahara, pombe na siasa. na ukichunguza zaidi asilimia 99 ya madokta ni members humu jamii forum . na muda wote wapo online means hawako busy . na story zao ndio hizo hizo za kulinganisha mishahara yao na wanasiasa , wabunge , tra , bot. JAMANI MADOKTA KWANI MLIRAZIMISHWA KUSOMA PCB AU KUSOMEA HUO UDOKTA ? ingieni kwenye siasa mfaidi hiyo mishahara mikubwa mnayoiongelea . harafu nyie si wasomi kama mnavyodai then na kama hiyo kazi hamuipendi au haiwalipi si mbadili kozi. very easy hama field piga masters yako ya acounts au political science. haizidi miaka miwili tu umesha graduate . najua hamshindwi . nyie si vichwa .au mnajiita vipanga . then jiungeni na kazi zinazolipa mpate hela nyingi na mazingira mazuri ya kazi ................................... nawasilisha
   
 2. u

  usungilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 501
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  It sounds like nyoni. Kuukosa udaktari kusikufanye utoe kejeli. Wakosoe kwa makosa wanayofanya ila usilete taarabu, kwani drs hawaruhusiwi kujiunga jf? Inaonekana unatumia njia ndefu na nguvu nyingi kuitwa dr!!!... Hata nyoni alikuwa na kejeli hizo kumbe ni pcb ilimsurvival of the fitest in the jungle.
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Labda madactari uchwara unaokutana nao ..

  Labda weye pia ni mlevi so story na rafiki zako wote karibu ni walevi

  Nawajua madactri hawanywi pombe wala sigara hawavuti
   
 4. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  He he he usituchukie if you have a crappy life.wengine tupo call ucku ndo maana unatuona jf asubuhi na mchana.kila kitu katika maisha kinaenda kwa timetable.je asilimia 90 ya wareja wa baa ni madokta?au ukiwa doc hurusiwi kunywa?
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,903
  Trophy Points: 280
  makubwa
   
 6. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Maneno ya mkosaji hayo! Wana haki ya kusema/kudai malipo mazuri. maana they have spent a lot of time under high mental stress kufika hapo walipo, they need/deserve good payment! Miaka 5 na wasita wa internship siyo kazi rahisi!
   
 7. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu Kupe,

  either huelewi au hutaki kuelewa,

  1. Dr.Ulimboka aliitwa hapo "bar" Leaders, na mikutano ya madaktari ilikuwa inafanyika kwenye kumvi mbalimbali hadi pale Mh. Waziri mkuu alipokataza na sio "bar"(just as a reminder)

  2. Asilimia tisini(90%) anaongelea mishahara, pombe na siasa, ..hivi hawa si wananchi? Hawana haki kikatiba kuongelea haya?.Halafu hiyo asilimia tisini(90%) umeitolea wapi? Tueleze ulifanyaje huo utafiti!

  3. "Ukichunguza zaidi asilimia 99 ni members humu jf" Kwani kada nyingine wamekatazwa kuwa members? au JF imesema haiwataki madaktari?Huoni ni kama chuki binafsi? Unajua TZ ina madaktari wangapi? kati yao unajua asilimia 99 ni ipi?Unaweza kuthibitisha?

  4.Usomi ni nini mkuu?Kwa sababu napata shida hata kwa lugha yako "harafu" au "MLIRAZIMISHWA", kwako huu ni usomi?..

  5.Uliambiwa madaktari walisoma kozi hiyo ili "watajirike"? unadhani walikuwa hawajui kozi zenye mishahara zaidi ya udaktari?!

  Kwa "uchunguzi" wako ulioufanya kupitia hao "madaktari na asilimia zako" sijui kama uko sahihi.
   
 8. TILALILA

  TILALILA Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pia jiulize kwanini kozi yao ni miaka mitano na kozi zingine ni miaka mitatu?
   
 9. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  wewe utakuwa dhaifu . uwezi kuwajudge madokta na kuwatafutia kasababu dhaifu eti MOJA YA SABABU YA KWAMBA KWA NINI wanagoma eti ni PESA NA POMBE. mind your own business and do not follow OTHERS AFFAIRS damn sheet KUPE.
   
 10. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  OK. Una jingine???
   
 11. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Waziri mkuu aliwahi kuwaita mkakataa. Then mmeomba msamaha..... Na huyo ulimboka wenu kimyaaa kulikoni au ndio kishapozwa na mshiko......... Lets say mimi nipo TRA au BOT. unadhani natamani hata kuitwa dokta kwa njaa iliyoko huko...... Harafu issue ya mwisho kwani mlilazimishwa kuwa ma dokta. Na JK si aliwaambia anayeona u dokta haumlipi aondoke akatafute sehemu nyingine. Kila siku mmekaa mnapigaa kelele tu mara twendeni tukafanyekazi kusini. Mbona hamuendi????? Kibonde aliwasema sana mkamuona mbaya . Kama vipi acheni kazi njooni huku TRA , MIZANI, AU MJE MAAFISA MIKOPO BANK. Si mtakesha bar
   
 12. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sina hamu na madoctor ni watu wabaya sana.....,Nilimpeleka hospita mke wangu siku moja, alikuwa na tatizo la uzazi, basi doctor(man) alimwambia avue chupi halafu alale juu ya kitanda....na doctor akawa anasokonyoa kitumbua kama dakika 20
   
 13. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MLIOFELI PCB na Kudisco muhimbili kazi kweli kweli...mnauchungu sana...mmmhh. Fanye ata PHD online kama nchimbi nanyi mtaitwa DR. tu isiwaumesana taito ya hao jamaa.
  Madkatiri ninaowafahamu waliomaliza muhimbili hawana njaa...na katika maisha wamepiga bao sana tu...labda ujafanya utafiti wako vizuri...
  kitendo cha kufanya kazi sehemu tatu wanauwezo wakuingiza zaidi ya Milion 3 kwa mwezi....sasa sijui kama umewahi kulifanyia tafiti hili pia. Maana tunasikia waliruhusiwa kufanya hospitali za binafsi ambako wanalipwa kwa masaa.
  Acheni chuki zenu binafsi...tuliofeli PCB nakupata alama za kawaida wote tuliishia Bcom UDSM...japo tulitamani kuwa madaktari...na mpaka leo tunawatamani.
   
 14. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Mind your own businesses and leave OTHERS PEOPLES AFFAIR ,damn sheet !!!
   
 15. j

  joline365 Member

  #15
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huna point na hujui unachozungumza, better u keep quiet.
   
 16. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #16
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Yaani hadi leo unaongelea kuitwa kwa W/mkuu mkuu wangu?!!! Uko dunia ya ngapi?..
  Ni vizuri kufuatilia vizuri..walioomba msamaha ni kina nani, a day after they didi ulifatilia vyombo vya habari?
  Kwani hakuna walioondoka??!
  Kumbe shifa yako ilikuwa hela ndiyo maana uko TRA?
  Sijajua point hasa ni ipi hapo juu mkuu wangu.
   
 17. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #17
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Unfounded argument, inaelekea una chuki na hawa watu. The whole argument is totally fallacious therefore rendered to be a ****!!!! Hiyo miaka miwili unayoongelea ni ile ya siku 365.25 / 366!!!!
   
 18. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  JESUS the great physician.......daktari mkuu alianza YESU, usitukane kazi iliyompa sifa YESU hadi leo. Halafu wewe unaonyesha mgonjwa wa akili hapo ulipo tafadhali omba kumuona daktari haraka kabla hujawa kichekesho
   
 19. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #19
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  No research no right to speak................................
   
 20. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #20
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Halafu wewe ulikuwa unafurahia tu jana anavyosokonyoa mali zako au?,
   
Loading...