Hivi kwanini lugha ya kingereza haitiliwi mkazo nchini mwetu?

Kiingereza tusome tu, mi sina tatizo na hilo. Ila physics na utaalamu mwingine tujifunze kwa kiswahili. Mtu akitaka kichina akisome ila masomo yawe kwa kiswahili. Kuihusisha Artificial Classification na mazingira yetu ni kwa kiingereza ni kazi sana ila mtu akikufundisha dissection kwa kiswahili vigumu sana kutoelewa. Utajua hii ni ateri, utajua hii ni osofagasi, utajua puru kila kitu na kukilinginisha na unavoviona kila siku.
Watz buana ni shida sana. Watu wanaona shida kusoma biology in english sababu background ni mbovu.
Mkazo ukiwekwa kuanzia shule ya awali utaona urahisi wake, maana catchup capability huwa ni kubwa sana between the age of 5 mpaka 10.
Mtu unakazania kiswahili tu kwa agenda ya uzalendo as if maisha yako yote mtawasiliana watz tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini tusisome tu kiswahili mpaka mwisho? Kiingereza hakina faida yoyote ile, wanaijeria wanaongea kiingereza, Ghana wanaongea kiingereza lakini kati yao hakuna hata aliepiga hatua ya maana kimaendeleo, kinachosaidia kwenye elimu ni yaliyomo( content) sio lugha inayotumika. Swala la Bunge la afrika mashariki kusaili watu kwa kiingereza wacha wafanye tu. Bunge lile lipo kwa ajili ya diplomasia ni kama balozi wa Tanzania nchi nyingine. Halina athari yoyote kimaamuzi kwa watanzania, kwahiyo wale wanaojua kiingereza waende tu. Ila hapa kwetu mtu asitukanwe kwa kutojua kiingereza, wala asisailiwe kwa kiingereza. Kujua kiingereza hakusaidii uchumi, zaidi kimasaidia diplomasia na mazungumzo ya hapa na pale.
Tukomae tuwe na content nzuri kwenye elimu yetu sio lugha.
Hivi ulijisikiliza kabla ya kuandika mkuu? Wewe ni wa kulinganisha Tanzania na Nigeria/Ghana. Je wajua kuwa hao wanaijeria wamesambaa dunia nzima au unadhani huko wanaongea lugha ya wa-igbo? Kwa kukufahamisha tu ni kuwa kwa kuzikimbilia fursa Africa Magharibi wametuacha kwa hatua kadhaa na ni wafanyabiashara wazuri tu nje ya Africa na kiingereza ndiyo moja ya kipengele kinachowarahisishia maaasiliano.

KWA UFUPI UMETUDANGANYA.

Nikiongezea, sisi wenyewe tumeichagua hiyo lugha kama "Lugha Rasmi" na mpaka nakala muhimu za nchi, mitaala ya sekondari na vyuo, mikataba n.k imeandikwa kwa lugha hiyo. Leo hii unaposema mtu asitukanwe kwa kutokujua kiingereza wakati amesoma kwa lugha hiyo nakushangaa sana.

Baada ya kumaliza kuitukana serikali kwa kushindwa kuandaa wananchi wake kujifunza moja ya lugha rasmi ya nchi wewe utakuwa namba mbili kutukanwa kwa kung'ang'ania ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ulijisikiliza kabla ya kuandika mkuu? Wewe ni wa kulinganisha Tanzania na Nigeria/Ghana. Je wajua kuwa hao wanaijeria wamesambaa dunia nzima au unadhani huko wanaongea lugha ya wa-igbo? Kwa kukufahamisha tu ni kuwa kwa kuzikimbilia fursa Africa Magharibi wametuacha kwa hatua kadhaa na ni wafanyabiashara wazuri tu nje ya Africa na kiingereza ndiyo moja ya kipengele kinachowarahisishia maaasiliano.

KWA UFUPI UMETUDANGANYA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anaadika hivo kwasababu hana exposure yoyote duniani, lack of confedence ya watanzania huwezi kuilinganisha na nchi yoyote....ukikutana na mtazania nje ya Tanzania utamuona jinsi anavo angaika kujichanganya na Africa wengine hatujaamini, kwanini Elimu yetu haituandae, naviongozi wetu wanajua kwamba huo ndo mtaji wa kutawala wa Tznia.....tuko empty kiasi kwamba mtu ana sapoti tusifundishwe kiingereza kwasababu hajui umuhimu wake, kwakweli JKN kuna makosa makubwa alio tendea nchi hi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watz buana ni shida sana. Watu wanaona shida kusoma biology in english sababu background ni mbovu.
Mkazo ukiwekwa kuanzia shule ya awali utaona urahisi wake, maana catchup capability huwa ni kubwa sana between the age of 5 mpaka 10.
Mtu unakazania kiswahili tu kwa agenda ya uzalendo as if maisha yako yote mtawasiliana watz tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
sema tubadilishe na lugha ya kuongea, tuwage tunaongea kiingereza tu tangu wadogo kwasababu kiswahili hakina maana tena
 
Hivi ulijisikiliza kabla ya kuandika mkuu? Wewe ni wa kulinganisha Tanzania na Nigeria/Ghana. Je wajua kuwa hao wanaijeria wamesambaa dunia nzima au unadhani huko wanaongea lugha ya wa-igbo? Kwa kukufahamisha tu ni kuwa kwa kuzikimbilia fursa Africa Magharibi wametuacha kwa hatua kadhaa na ni wafanyabiashara wazuri tu nje ya Africa na kiingereza ndiyo moja ya kipengele kinachowarahisishia maaasiliano.

KWA UFUPI UMETUDANGANYA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaijeria wapo mpaka hapa Seoul, South Korea ila wanaongea kikorea na sio kiingereza. Kukimbilia fursa ni hulka na lugha haihusiki. Wahindi wapo dunia nzima na kiingereza hawajui, wachina pia. Katika nchi kumi zilizoendelea sanaa duniani ni nchi ngapi zinajifunza kwa kutumia kiingereza?
 
Kwanini tusisome tu kiswahili mpaka mwisho? Kiingereza hakina faida yoyote ile, wanaijeria wanaongea kiingereza, Ghana wanaongea kiingereza lakini kati yao hakuna hata aliepiga hatua ya maana kimaendeleo, kinachosaidia kwenye elimu ni yaliyomo( content) sio lugha inayotumika. Swala la Bunge la afrika mashariki kusaili watu kwa kiingereza wacha wafanye tu. Bunge lile lipo kwa ajili ya diplomasia ni kama balozi wa Tanzania nchi nyingine. Halina athari yoyote kimaamuzi kwa watanzania, kwahiyo wale wanaojua kiingereza waende tu. Ila hapa kwetu mtu asitukanwe kwa kutojua kiingereza, wala asisailiwe kwa kiingereza. Kujua kiingereza hakusaidii uchumi, zaidi kimasaidia diplomasia na mazungumzo ya hapa na pale.
Tukomae tuwe na content nzuri kwenye elimu yetu sio lugha.
Kuna wakati balozi wa Tanzania nchini Sweden aliita watu wa TBC kutangaza fursa za uwekezaji zilizoko Tanzania. Miongoni mwa wawakilishi wa TBC alikuwa mkurugenzi wao Rioba daaah yaaani presentation aliitoa kiswanglish ilikuwa aibu sana sana..........
 
Ilitakiwa aende mtu aliesoma lugha yao kidplomasia maanake kwa kiingereza cha Zlatan sidhani kama Sweden wanaongea kiingereza. Au angetafuta mkalimani akwatanga Kiswahili.
 
Wanaijeria wapo mpaka hapa Seoul, South Korea ila wanaongea kikorea na sio kiingereza. Kukimbilia fursa ni hulka na lugha haihusiki. Wahindi wapo dunia nzima na kiingereza hawajui, wachina pia. Katika nchi kumi zilizoendelea sanaa duniani ni nchi ngapi zinajifunza kwa kutumia kiingereza?
Aliyekwambia wahindi hawajui Kiingereza nani??

Ingia YouTube angalia documentaries karibu zote za kitabibu na maswala ya Afya wengi wanaotoa elimu ni wahindi na utawajua kwa lafudhi zao.

Wewe jitu sijui kwanini unaandika upumbavu?

Kama hauna kitu chanya cha kuandika ni bora uende huko ukale viporo kuliko kupotosha watu.

Unajua ni watu wangapi wanasoma huu upotoshaji wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaijeria wapo mpaka hapa Seoul, South Korea ila wanaongea kikorea na sio kiingereza. Kukimbilia fursa ni hulka na lugha haihusiki. Wahindi wapo dunia nzima na kiingereza hawajui, wachina pia. Katika nchi kumi zilizoendelea sanaa duniani ni nchi ngapi zinajifunza kwa kutumia kiingereza?
Umeleta mfano mzuri na bila kuongeza chochote ukiangalia mfano wako utajifunza kuwa kujua lugha zaidi ya moja ni kupiga hatua moja zaidi katika ulimwengu huu. Wewe baki kung'ang'ana na kiswahili chako kama vile utakiongea ukienda China au Ulaya. Wachina unaowasema wakienda nchi husika wanajifunza lugha ya mahalia ili kuongeza ufanisi kwenye biashara. Wahindi unaowasema wapo Tanzania ama nchi zinazoongea kiingereza na hawajui kukiongea sijui umewaona wapi.

Nimesoma na wachina wengi Kihispania huko America ya Kusini, nimewaona wachina wanaojenga SGR pale Kenya wakijifunza kiswahili na wakikiongea kiasi.

Ninachotaka kukueleza ni kuwa kwa kuwa tumeichagua lugha ya Kiingereza kama lugha rasmi Tanzania hii inafanya kujifunza na kukijua kiingereza kuwa ni suala la lazima kwa kila mtanzania achalia mbali masuala mengine ya biashara ama safari.

Wewe uliyeona Wanaijeria wakiongea Kikorea tumia uzoefu wako kuwaeleza watanzania kuwa Dunia nzima haiongei kiswahili wajifunze lugha mbalimbali za kimataifa wakianzia na Kiingereza ambacho ni lugha rasmi Tanzania na ambacho kinazungumzwa na watu wengi kuliko lugha yoyote duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekwambia wahindi hawajui Kiingereza nani??

Ingia YouTube angalia documentaries karibu zote za kitabibu na maswala ya Afya wengi wanaotoa elimu ni wahindi na utawajua kwa lafudhi zao.

Wewe jitu sijui kwanini unaongea upumbavu?

Kama hauna kitu chanya cha kuandika ni bora uende huko ukale viporo kuliko kupotosha watu.

Unajua ni watu wangapi wanasoma huu upotoshaji wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemshangaa sana huyo Bwana sijui yupo dunia gani. Anadhani katika ulimwengu huu atadanganya watu kirahisi rahisi. Sijui anadhani watanzania wengi waliokimbilia India kusoma na kwa matibabu huwa wanawasiliana kitamil.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekwambia wahindi hawajui Kiingereza nani??

Ingia YouTube angalia documentaries karibu zote za kitabibu na maswala ya Afya wengi wanaotoa elimu ni wahindi na utawajua kwa lafudhi zao.

Wewe jitu sijui kwanini unaandika upumbavu?

Kama hauna kitu chanya cha kuandika ni bora uende huko ukale viporo kuliko kupotosha watu.

Unajua ni watu wangapi wanasoma huu upotoshaji wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe unaona upumbavu halafu unaujibu? Ilitakiwa ukiona tu ni upumbavu unatema mate chini
 
Umeleta mfano mzuri na bila kuongeza chochote ukiangalia mfano wako utajifunza kuwa kujua lugha zaidi ya moja ni kupiga hatua moja zaidi katika ulimwengu huu. Wewe baki kung'ang'ana na kiswahili chako kama vile utakiongea ukienda China au Ulaya. Wachina unaowasema wakienda nchi husika wanajifunza lugha ya mahalia ili kuongeza ufanisi kwenye biashara. Wahindi unaowasema wapo Tanzania ama nchi zinazoongea kiingereza na hawajui kukiongea sijui umewaona wapi.

Nimesoma na wachina wengi Kihispania huko America ya Kusini, nimewaona wachina wanaojenga SGR pale Kenya wakijifunza kiswahili na wakikiongea kiasi.

Ninachotaka kukueleza ni kuwa kwa kuwa tumeichagua lugha ya Kiingereza kama lugha rasmi Tanzania hii inafanya kujifunza na kukijua kiingereza kuwa ni suala la lazima kwa kila mtanzania achalia mbali masuala mengine ya biashara ama safari.

Wewe uliyeona Wanaijeria wakiongea Kikorea tumia uzoefu wako kuwaeleza watanzania kuwa Dunia nzima haiongei kiswahili wajifunze lugha mbalimbali za kimataifa wakianzia na Kiingereza ambacho ni lugha rasmi Tanzania na ambacho kinazungumzwa na watu wengi kuliko lugha yoyote duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sikatai wabongo kujifunza kiingereza au lugha nyingine. Nisichotaka mimi ni kutumia kiingereza kujifunza mambo ya kitaalamu, mbona Russia elimu yao ipo kirusi, mbona China elimu yao ipo kichina, mbona waindonesia elimu yao ipo kiindonesia, mbona wakorea elimu yao ipo kikorea, mbona mbona mbona sisi hatusomi kwa kiswahili? Halafu mbona swali langu la nchi zenye maendeleo hujajibu?
 
Nimekuelewa sana mkuu. Hao wote uliowataja wanatumia lugha zao sawa lakini wanajifunza lugha nyingine pia ili waweze kwenda na dunia na kujua mbinu za washindani wao katika masoko na nyanja mbalimbali.

Pili tunapoongelea maendeleo ya nchi zisizoongea kiingereza kuna sababu nyingi za kimfumo ambayo ni mada nyingine. Nchi hizo zimeanzia mbali na zilijitoa mhanga kujikwamua kitu ambacho Watanzania hatujawahi kukifanya kutokana na uongozi mbovu.

Tusichukulie suala kujifunza lugha kama adhabu hapo ndipo naona unakosea badala yake tufanye hii fursa ya kujua Kiingereza kama moja ya wasaha wa kutoka nje ya kuta za kiswahili ili kuitangaza Tanzania kwa lugha yao watuelewe vizuri na si kujifungia na rasilimali zote tulizonazo. Kiswahili ni lazima kidumishwe na pia Kiingereza kama lugha ya biashara nacho pia kifundishwe kwa weledi.

Tunapowaona raia wa nchi zisizozungumza kiingereza wanajifunza tusidhani ni wajinga. Wanajua wanachofanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa uhusiano wa CCM na Kiingereza na Wakristo na Waislamu, ila kwa nnavyojua kujua lugha ni jitihada ya mtu binafsi, kama mmarekani haoni sababu ya kujifunza kiswahili au lugha ya kichina ni sababu ya mtu binafsi, na mswahili asipoona haja ya kujifunza kiingereza, kifilipino au kichina ni sababu yake binafsi pia, ila Lugha mbalimbali inakunufaisha mtu binafsi pale unapoamua kushirikiana na mtu wa jamii isiyojua lugha yako kwa kumsaidia kuwasiliana na wewe,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujua kiingereza vizuri inakusaidia kwenye elimu unakuwa unaelewa unachofundishwa, hadi hapo tutakapoweza kutafsiri vitabu vya kiingereza kuwa lugha yetu basi ni muhimu kujua kiingereza kwanza ili tusiwe wasindikizaji na kufeli kwa kutoelewa lugha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom