Hivi kwanini Korodani zinawasha na kunuka?

Mwanaume kunuka korodani ni inategemea ila nasema baada ya kazi za kuhangaika na unahisi zinasmell zifanyie usafi broo.
 
Kuna viumbe nimeshuhudia inapita wiki na zaidi haiogi, huwa nakaa nafikiria na wake zao je! wako hivyo hivyo, na je! Washazoeana hiyo harufu!!!! Sio kuoga tu, hata kupitisha mswaki na dawa imekua ngumu.
 
Mkuu ama zako ni nzito sana? Nimejaribu kuwaza sijapata jibu. Nimevuta picha hiyo harufu picha Haiji kabisa.

Hapana. Zako zina shida. Labda zimesuswa 🤣🤣
 

😂😂😂😂😂Pumbu zimesuswa 🤣🤣🤣🤣
Mkuu ama zako ni nzito sana? Nimejaribu kuwaza sijapata jibu. Nimevuta picha hiyo harufu picha Haiji kabisa.


Hapana. Zako zina shida. Labda zimesuswa 🤣🤣
 
Kuwasha siyo jambo la kawaida bali ni ugonjwa yaani fungus. Huenda mtoa post una fungus za kudumu ndo maan umeona kuwashwa ni jambo la kawaida.
Kunuka ni uchafu tu na sababu ni sehem zilipo pana ufukuto wa joto na hivyo pana sweat kirahisi ,lile jasho likikaa muda merefu bila kuondolewa hunuka, kama kwapa tu.

Asalam aleykum.
 
Oga na ujipake mafuta dah hi kali ..badilisha boksa mara uendapo kuoga kila siku
 
Kama huna hela kaangue limao lile lanjano kabisa .Kwangua mavuzi yotee kisha paka limao kila sehemu kwa muda wa nusu saa .ikipita nusu saa kaoge na sabuni yoyote.Ukinuka au ukiwashwa njoo unidai hela.
 
Baada ya kuoga

Chuchumaa piga povu ktk pumbu alafu nawa

Piga Povu la pili sugua alafu nawa

Piga povu la tatu sugua alafu nawa

Jikaushe vzur


NB* lakin ile kuoga jumlajumla kwa pamoja uwez toa harufu ya kukera


Osha pumbyuu mkuu
 
1. Imarisha usafi
2. Fanya unyoaji mara kwa mara
3. Tibu fungus zote
4. Badilisha nguo za ndani daily.
5. Eneo libaki likiwa kavu Muda wote
Hakutakuwa na harufu zenye kukera.
🙏🏽Iwafikie Wanaume na Wanawake wote

ntagharamia kinywaji utakachopenda kutumia
 
Back
Top Bottom