Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,251
- 5,322
naomba kujua sababu za kanisa kuruhusu wanaume kuoana. Tumeona mengi sana yakifanyika kwa kificho, tunajua kuna mashoga wengi lakini wako kwa kificho sababu wanajua ni uchafu na ni kero kwa jamii,
Lakini kwa kanisa kuruhusu hili limenipa shida sana kichwani tena wanaenda mbali zaidi kwa kuwaozesha kabisa, wameanza huko kwa waliowaleteeni hiyo dini wako njiani wanakuja na huku,
Namshukuru MUUMBA kunifanya kuwa muslim aisee hali ni mbaya, naombeni sababu waungwana hata kama ni mistari ipo nitajieni nikasome mwenyewe.