Hivi kwanini kanisa limeruhusu ndoa za jinsia moja?

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
5,251
5,322
naomba kujua sababu za kanisa kuruhusu wanaume kuoana. Tumeona mengi sana yakifanyika kwa kificho, tunajua kuna mashoga wengi lakini wako kwa kificho sababu wanajua ni uchafu na ni kero kwa jamii,

Lakini kwa kanisa kuruhusu hili limenipa shida sana kichwani tena wanaenda mbali zaidi kwa kuwaozesha kabisa, wameanza huko kwa waliowaleteeni hiyo dini wako njiani wanakuja na huku,

Namshukuru MUUMBA kunifanya kuwa muslim aisee hali ni mbaya, naombeni sababu waungwana hata kama ni mistari ipo nitajieni nikasome mwenyewe.
 
naomba kujua sababu za kanisa kuruhusu wanaume kuoana tumeona mengi sana yakifanyika kwa kificho,tunajua kuna mashoga wengi lakini wako kwa kificho sababu wanajua ni uchafu na ni kero kwa jamii,lakini kwa kanisa kuruhusu hili limenipa shida sana kichwani tena wanaenda mbali zaidi kwa kuwaozesha kabisa,wameanza huko kwa waliowaleteeni hiyo dini wako njiani wanakuja na huku,namshukuru MUUMBA kunifanya kua muslim aisee hali ni mbaya,naombeni sababu waungwana hata kama ni mistari ipo nitajieni nikasome mwenyewe.

mods msithubutu kuugusa huu uzi,uacheni kama mlivyouacha wa anzelim,muache unafki.
Unakijua unacho kiongea???
 
Mhh..
 
Attachments

  • 42619.jpg
    42619.jpg
    19.8 KB · Views: 105
Kama kanisa limeruhusu nawe huridhiki si uhame??..jiongeze tu mbona kwingine kuko poa tu kwa nini ujibanebane huko
 
Ni mabadiliko ya wanadamu na dunia kwa ujumla. Huko uzunguni kuna mjadala mkubwa unaendelea wa kuwaruhusu mashoga kuongoza ibada makanisani na kutambulika kwa ndoa zao. Hayo yameshaanza kutokea na yataendelea kuenea duniani ila muda tu utatofautiana. Sio rahisi kuzuia utandawazi.
 
naomba kujua sababu za kanisa kuruhusu wanaume kuoana tumeona mengi sana yakifanyika kwa kificho,tunajua kuna mashoga wengi lakini wako kwa kificho sababu wanajua ni uchafu na ni kero kwa jamii,lakini kwa kanisa kuruhusu hili limenipa shida sana kichwani tena wanaenda mbali zaidi kwa kuwaozesha kabisa,wameanza huko kwa waliowaleteeni hiyo dini wako njiani wanakuja na huku,namshukuru MUUMBA kunifanya kua muslim aisee hali ni mbaya,naombeni sababu waungwana hata kama ni mistari ipo nitajieni nikasome mwenyewe.

mods msithubutu kuugusa huu uzi,uacheni kama mlivyouacha wa anzelim,muache unafki.
Jamaa ulooleta mada hujatoa evidence za msingi ila umeonekana tu umelalamika kwa mihemko yako binafsi. Umesema makanisa ila hujasema ni nakanisa yepi, nadhehebu yapi na mifano japo ya nchi zilizofanya hivyo na ungefanya uchunguzi kidogo kujua wametumia biblia au miongozo ipi.. nextime njoo na evidence nzuri ili tujadili vizuri sio una generalize makanisa tu.
 
Shetani anafanya kazi kubwa kuliangusha kanisa la Bwana.

Shetani anafanya kazi kubwa within churches Kwa sababu ndio njia rahisi kuweza kuwadanganya watu wa Mungu.

Mambo ya dini tuliletewa, lakini hawawezi pia kututafsiria maandiko tena Kwa kutupotosha.
Sio kweli kwamba kanisa limekubali hili jambo Ila Ni Kwa baadhi ya madhehebu huko ulaya na marekani.
Kwa wakristo huu Ni wakati wa kusali na kkuliombea kanisa.
Ni wakati wa kusimama imaraa dhidi ya huu uchafu mkubwa unaolichafua kanisa.
Mungu atupe neema ya kusoma neno na kutufunulia Kwa namna iliyokusudiwa.

Ameen
 
Back
Top Bottom