Hivi kwanini kanisa limeruhusu ndoa za jinsia moja?

Watu wengi wana uelewa mdogo sana kuhusu dini.Natamani kama kuna mtu anajua namna dini hizi mbili kubwa zilivyoanza angetujulisha.Watu hawajui kama dini ni taasisi kama taasisi nyingine na zinasajiliwa kama unavyosajili kampuni.Kifupi ni kwamba Mungu yupo lkn hana dini.Dini za Kikristu na Kiislam zilianzishwa na wazungu na waarabu kadiri ya uelewa na malengo yao wakati huo.Africa ilikua na dini pia wakati huo(Matambiko).Kilichotokea ni kuzidiana kete tu,wazungu na waarabu walifanikiwa kuwashawishi Mababu zetu kwamba kutambika haikua sawa bali wamjue Yesu na Mtume.Ni vema mkajua pia endapo babu zetu wangekua wajanja wakati huo huenda dini za matambiko ndo zingekua dini za kidunia sasa.Kwa hiyo usijisifie kwamba bora mimi mkristu au muislam,jisifie kwamba namjua Mungu.Ndio maana haohao waliowaletea hizo dini wao hawazitaki makanisa wanageuza bar shauri yako we ulieletewa na kujifanya unaijua kuliko wenyenayo.Pokeeni na huo ushoga kama mlivyopokea vingine.Usijedhani utamaduni wa dini za kuletewa uko salama kamwe.Wazungu wanalawiti watoto wa kiume,kwani uwongo? Waarabu mwanaume ukiinama wanakusifia...Mtukuze Mungu sio dini.
Matambiko kayaanzisha nani? kwa sababu mababu zetu kuyafanya hayo matambiko si kigezo kwamba walikuwa sahihi,tupe historia ya hayo matambiko na yanahusika vp na mungu unayeamini yupo?
 
Kwani vitu vyote vinavyokatazwa na kanisa la kristo wee hufanyi au kama unafanya kwani wee ni mpinga kristo kwa kuwa unafanya mambo yaliyokatazwa na kristo.

Kanisa la kristo limekataza kusema uongo kwani wee husemi uongo...?

Kanisa la kristo limekataza usizini wee hujawahi kuzini...?

Kanisa la kristo limekataza usiibe wee hujawahi kuiba...? etc

Usibadili maana kwa kutumia maneno ya kwenye biblia kuwa wanaofanya hayo ni wapinga kristo kwa hiyo nawe ni mpinga kristo...?

Hoja ya mtoa mada ni kwamba "KWA JINI MAKANISA YANAFUNGISHA NDOA ZA JINSIA MOJA NA KUTOA BARAKA KWA WANANDOA...?"

Mjibu mleta mada vizuri aelewe kwa mana amesema anataka kuelewa ni kwa nini...?

That's all.
ukweli ni kuwa hakuna dini either uislam au ukristo unaokubali ndoa za jinsia moja hivyo hao wanaofanya nibwahuni wachache tu isichukuliwe kama ni kanisa zima... kwa mfano anglican ilitokea mjadala wa kuruhusu ushoga ukaitishwa mkutano kwa uwingi wao wajunbe wakaktaa ushoga kwenye kanisa na hivyo kanisa la anglican marekani likatengwa so jibu ni HAKUNA KANISA LILILORUHUSU USHOGA.
ilankumjibu tu mleta mada hayo ambayo yameruhusu ndoa za kishoga wanataka tu kudumisha haki za binadam kwamba kama nmeamua kuoa mwanaune mwenzangu iheshimiwe no wonder hata mambo ya 50:50 kati ya nwanaume na mwanamke yameanzia huko wakati vitabu vya dini vinaelekeza mwanaune ndio kichwa cha familia na mwanamke ni msaidizi
 
Haya kijana wa Zuberi.
 
Kufurahi kwa sababu ya jambo moja haizuii mtu kufkiri upande wa pili ndugu.

Ina mtu akisema nafurahi kupata kazi it means hatowafkiria wasiokuwa na kazi mkuu, sio kweli.
Mkuu....wewe huwa unaamini kwamba kuna baadhi ya misikiti wanafundisha watoto ugaidi?! Bac tushughulikie yaliyo ndani ya nyumba zetu kwanza kabla yafuatilia yanayotokea ktk nyumba ya jirani yako....
 
Mkuu....wewe huwa unaamini kwamba kuna baadhi ya misikiti wanafundisha watoto ugaidi?! Bac tushughulikie yaliyo ndani ya nyumba zetu kwanza kabla yafuatilia yanayotokea ktk nyumba ya jirani yako....

Ni vizuri ukanijuza kuliko kuandikia mate, unaweza kunitajia miskiti inayofundisha ugaidi tukaifaham walau...?

Karibu tujadili.
 
naomba kujua sababu za kanisa kuruhusu wanaume kuoana. Tumeona mengi sana yakifanyika kwa kificho, tunajua kuna mashoga wengi lakini wako kwa kificho sababu wanajua ni uchafu na ni kero kwa jamii,

Lakini kwa kanisa kuruhusu hili limenipa shida sana kichwani tena wanaenda mbali zaidi kwa kuwaozesha kabisa, wameanza huko kwa waliowaleteeni hiyo dini wako njiani wanakuja na huku,

Namshukuru MUUMBA kunifanya kuwa muslim aisee hali ni mbaya, naombeni sababu waungwana hata kama ni mistari ipo nitajieni nikasome mwenyewe.

Mkuu ninachotaka kukuambia ni kua katika biblia hakuna mahali biblia imehalalisha ushoga, na katika biblia hiyohiyo inakuambia Mungu aliangamiza kizazi cha Sodoma na Gomora kwa moto ajili ya ushoga[mwanzo 19...] siku hizi wapiga dili ni wengi na wanakuja kwa mlango wa kanisa au msikiti[ rejea historia ya ukoloni ulivyoingia Africa] na hata huko kwenye uislam bado hampo salama kama unavyodhani, tofauti ni kuwa wazungu wapo open ilhali kule kwenye nchi za kiislam ni siri kubwa, mfano mwepesi hapa nchini Tanzania, juzi nilisikia radioni kule Pemba hali ni mbaya kwa vijana wetu, pia waweza pitia hapa ili uone 5 Imams Who Are Openly Gay - LGBT Muslims
 
Yule jamaa wa arusha alieolewa ndoa yake ilifanyika kanisani na ilifana sana
Ule ulikua uzushi, na yule kijana sio wa Arusha, wala sio mtanzania, jaribu kufuatilia utaamini ninayosema, kitu kingine ni kuwa kwa dunia hii ambayo mzungu ndio kila kitu usije shangaa hata ww ambaye ni muislamu ukajasikia mmoja wa vijana wako ni muathirika wa hilo, hawa watu wametuharibia sana mila na desturi zetu kwa kupitia vyombo hivi, ila hata kwa upande wenu nakuambia hampo salama
 
Mtoa mada hakusema hakuna waislam wanaojihusisha na ushoga ila point yake ni kwa nini kanisa linaruhusu na kufungisha ndoa za jinsia moja?

Ni nani amekuambia kuwa kusudi langu lilikuwa kujibu au kuhusianisha nilichoandika na maandishi ya mtoa mada?
 
Mimi ninajua misikiti miwili mikubwa Uingereza inayoendeshwa na Masheikh mashoga. Unataka kuwafahamu kwa majina masheikh hao mashoga na misikiti hiyo kwa picha kabisa na link?

Pia ni misikiti yenye waumini wengi tu sheikh.

Hilo la kanisa silijui labda utupe ushahidi yakhee...karibu ujibu kinagaubaga kama dela la maimuna wa kibada.

Wabillah Tawfiq.....!!!!
naomba kujua sababu za kanisa kuruhusu wanaume kuoana. Tumeona mengi sana yakifanyika kwa kificho, tunajua kuna mashoga wengi lakini wako kwa kificho sababu wanajua ni uchafu na ni kero kwa jamii,

Lakini kwa kanisa kuruhusu hili limenipa shida sana kichwani tena wanaenda mbali zaidi kwa kuwaozesha kabisa, wameanza huko kwa waliowaleteeni hiyo dini wako njiani wanakuja na huku,

Namshukuru MUUMBA kunifanya kuwa muslim aisee hali ni mbaya, naombeni sababu waungwana hata kama ni mistari ipo nitajieni nikasome mwenyewe.
 
Yaani ukisikia wakristo basi ni wale wanalofuata biblia inasemaje. Hakuna sehemu biblia imeruhusu ushoga. Makanisa ni Mengi. Mengi yanaitwa Saturn church hao hawafuati biblia inasemaje hata uislam Una matawi Mengi mf Shia,suni, ahamadiya n.k. baadae utasikia Saturn mosque.
 
Kwani vitu vyote vinavyokatazwa na kanisa la kristo wee hufanyi au kama unafanya kwani wee ni mpinga kristo kwa kuwa unafanya mambo yaliyokatazwa na kristo.

Kanisa la kristo limekataza kusema uongo kwani wee husemi uongo...?

Kanisa la kristo limekataza usizini wee hujawahi kuzini...?

Kanisa la kristo limekataza usiibe wee hujawahi kuiba...? etc

Usibadili maana kwa kutumia maneno ya kwenye biblia kuwa wanaofanya hayo ni wapinga kristo kwa hiyo nawe ni mpinga kristo...?

Hoja ya mtoa mada ni kwamba "KWA JINI MAKANISA YANAFUNGISHA NDOA ZA JINSIA MOJA NA KUTOA BARAKA KWA WANANDOA...?"

Mjibu mleta mada vizuri aelewe kwa mana amesema anataka kuelewa ni kwa nini...?

That's all.
Kanisa linaweza Kuwa hata jengo mfano lile aliloanzisha nabii tito kanisa la walevi. Ukiona nabii tito kafungisha ndoa ya ushoga utashangaa.kuna madhehebu Mengi Sana kwahiyo yanatofautiana. Dhehebu moja mfano alilokuwa anaanzisha nabii tito sio kwamba madhehebu yote yanaruhusu.mfumo wa ushoga kuruhusiwa na dhehebu moja sio kwamba umekubalika na makanisa yote. Kuna waislam wasunni, Shia ,ahamadiya na ndio maana kuna hao masehe wa usa wanaanzisha ushoga.but sio kwamba ushoga umekubalika na waislam wote. Ni misuse ya Imani .
 
Huo hapo msikiti unaofungisha ndoa za jinsia moja.
Screenshot_20181108-041604.jpeg
 
naomba kujua sababu za kanisa kuruhusu wanaume kuoana. Tumeona mengi sana yakifanyika kwa kificho, tunajua kuna mashoga wengi lakini wako kwa kificho sababu wanajua ni uchafu na ni kero kwa jamii,

Lakini kwa kanisa kuruhusu hili limenipa shida sana kichwani tena wanaenda mbali zaidi kwa kuwaozesha kabisa, wameanza huko kwa waliowaleteeni hiyo dini wako njiani wanakuja na huku,

Namshukuru MUUMBA kunifanya kuwa muslim aisee hali ni mbaya, naombeni sababu waungwana hata kama ni mistari ipo nitajieni nikasome mwenyewe.
Aisee mkuu wewe ungetaja hilo kanisa au dhehebu linalofungisha hizo ndoa na sio tu kuishia kusema kuwa kanisa linafungisha ndoa za jinsia moja
 
Ni vizuri ukanijuza kuliko kuandikia mate, unaweza kunitajia miskiti inayofundisha ugaidi tukaifaham walau...?

Karibu tujadili.
Misikiti yote inatoa kozi ya Karate na Ugaidi.

Ugaidi ni IBADA kwa Waislam

Kwasababu Muislam akimuua Mgalatia au Kafir kama Mimi atapata Thawabu kutoka kwa Mnyaaazi mungu.
 
Back
Top Bottom