Hivi kwanini CHADEMA hawahojiwi kwanini hawana hata ofisi ya maana japo wanajua kuna hela za ruzuku na michango ya Wabunge?

Wewe nani kakuhoji unafanyakazi mwaka wa tano huu unalipwa mshahara mnono na hujajenga kibanda wala choo,kazi kula na kulala kwa shemeji yako tu?
Mimi Sio mjinga Kama nyie nyumbu hahahaha pakulala ninapo
 
Kuna Mambo yanatia aibu na kufanya, watu tuamini kuwa Ufipa pale wengi ni akili kuambiwa.

Chama cha CHADEMA toka kimeanzishwa na ukubwa wake wote Ila jengo lao la makao makuu linashindwa thamani na jengo la shishi food.

CHADEMA wamekua waumini wa kupiga kelele kuwa nchi toka CCM imeshika madaraka nchi haijaendelea Ila wanasahau kuwa wao ofisi hata ya million mia 3 imewashinda.

CHADEMA badilikeni, ni aibu kushindwa kimaendeleo na Chauma na ACT.
Ofisi hazina kazi. Mwenyekiti wao anamiliki nyumba Dubai, Nairobi, South Africa, Uingereza na USA.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom