Hivi kwanini CDM msiitishe maandamano nchi nzima?

mdeki

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
3,300
466
Jamani hii inakera sana marafiki zangu wengi wameumia katika tukio la jana kule Arusha, na watanzania wenzangu wote hasa wapenda haki nadhani imewauma sana, sasa ombi langu kwa chadema itisheni maandamano ya Amani ya kulaani hili tukio
 
nani kakwambia maandamano ndio dawa??!!
je katika kuandamana kwenu ikitokea miripuko nani alaumike??!!!
kukurupuka kwa waandamani ama vyombo vya usalama??!!
ni wakati wa kutulia na kupunguza mikusanyiko isiyo na maana na kuwacha vyombo husika vichunguze kwa undani sababu za mripuko,na nani alihusika katika kutekeleza shambulio hilo
 
Back
Top Bottom