Hivi kwanini CCM eti ni chama cha wanyonge na masikini?

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
350
500
Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa siasa wa Vyama vya siasa Tanzania.Chama tawala CCM kina kauli mbiu kuwa in chama cha wanyonge Na masikini Kwa mujibu wa kauli ya katibu wa uenezi Na utikadi Bw.Polepole.Nimeshangazwa Na kauli hiyo kwani inaonekana Umaskini Na unyonge ni kama sifa Kwa mtanzania mpaka viongozi wanadiriki kusema CCM ni chama cha wanyonge Na maskini.Hakuna mtanzania aliyeutaka umaskini au unyonge.Vitu hivyo vimeletwa Na hao viongozi wa CCM lakini Leo Mh.Polepole anadiriki kusema ccm in ya wanyonge Na maskini naomba ajiulize hilo kundi limetoka wapi?
 

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,072
2,000
Hiyo ni kuwadanganya watu maskini wa vijijini na mijini wajione sehemu ya chama wakati ukweli ni kinyume chake !! Na hii yote ni kwa sababu wanataka kura zao masikini hao.

WaTz wakijitambua ngonjera zote hizo hazina mashiko
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom