Uchaguzi 2020 Hivi kwanini baadhi ya watu wanataka Aidah Khenan wa CHADEMA ajiuzulu Ubunge alioshinda?

Wakuu Salaam:

Nazunguka kila site kufatilia kinachojiri kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi.

Mh.Aidah Khenan ameshinda kupitia CHADEMA dhidi ya Kessy kule Nkasi Kaskazini. Sasa kinachoshangaza ni baadhi ya watu ambao pia wana Profile nzuri tuu kwa namna fulani wanapendekeza hata huu Ubunge alioshinda huyu Mh. aupige chini.

Ubunge ni kazi kama kazi zingine na yeye pia anao wanaomwangalia na ndicho alichokua anapigania muda wote wa kampeni.

Ule ulikua ni uchaguzi na yeye ndiyo katangazwa, kwanini watu wanapendekeza na kutoa maoni kabisa asikubali na wala asiende bungeni wakati ndiyo yeye katangazwa?
Asijiuzuru, aende tu akapige makofi akunje njaro zake vema mfukoni.
 
Tena kapambana haswa huyo dada ni jeshi la mtu mmoja.
Hakupata support ya kutosha kutoka uongozi wa mkoa CHADEMA Rukwa wabinafsi mno.
CHADEMA tumieni akili hta kidogo maamuzi yenu ya hovyo mtaenda kujimaliza wenyewe kisiasa.
Wanataka wajimalize. Wewe kwa nn unateseka? Machozi ya mamba🤣🤣🤣
 
Aache ujinga anao jaribu kuufanya huyo dada, anasikiliza ushauri wa failure's wanaomtqka na yeye a feli Kama wao
Kwa hiyo sasa wana ccm mmegeuka kuwa washauri wa chadema🤣🤣🤣. Chama kilichompa ubunge hapo kabla akiwa hajulikani anaanzaje kupingana nacho?
Loyalt of the part comes first. Umesahau Bashiri anavyojiapiza hakuna aliyemkubwa kuliko ccm? Chadema wanawaiga ccm huyo dada kashasena haendi bungeni🤣🤣🤣

Croc tears....😂😂😂
 
Hahahaaaa... Ghafla tu eti wamepata huruma kwa CHADEMA! Wanatakiwa wawe na huruma kwa Kessy. Nadhani ni huruma ya aina hii ya kinafiki iliyosababisha Magufuli akaamrisha huyu mama apewe hili jimbo.
Kwa hiyo sasa wana ccm mmegeuka kuwa washauri wa chadema🤣🤣🤣. Chama kilichompa ubunge hapo kabla akiwa hajulikani anaanzaje kupingana nacho?
 
Mimi Sina chama chochote Ila kiuhalisia anacho jaribu kufanya ni ujinga maana wanaomshauri aache ubunge awasaliti wananchi wangepata hyo nafasi wasingejiuzulu
Hakuna aliyemshauri kasema mwenyewe. Na chadema wao hawajasema chochote. Nyie ndiyo naona mnashindana kumshauri. Tangu lini simba akatoa uamuzi wa kwa haki kwa kesi ya kondoo?
Why cant you mind you own business?
 
Hakuna aliyemshauri kasema mwenyewe. Na chadema wao hawajasema chochote. Nyie ndiyo naona mnashindana kumshauri. Tangu lini simba akatoa uamuzi wa kwa haki kwa kesi ya kondoo?
Why cant you mind you own business?
Aache kufanya maamuzi kimememko huyo dada kuacha ubunge kisa wengine wameshindwa ni uduanzi wa kiwango Cha lami.
 
Aache kufanya maamuzi kimememko huyo dada kuacha ubunge kisa wengine wameshindwa ni uduanzi wa kiwango Cha lami.
Sasa hiyo ni juu yake. Mawazo ya watu kama wewe sidhani kama atayazingatia sana. Mwisho wa siku ataamua atakavyotaka yeye na siyo watu fulani watakavyotaka. Uzuri ameshaonesha ataamua nn. Kama inakuuma kwa uamuzi wake vumilia tu ndiyo demokrasia yenyewe.
 
Atulie apige mpunga ni uboya kuachia kiti wakati katumia pesa kibao kupiga kampeni. Mwisho wa siku ndio ajira yake hiyo ya uhakika kwa miaka 5. Hawezi kupewa chakula na chama chake kwa miaka hiyo mitano. Sana muonea wivu tu.
Tumbo lako lipo mbele zaidi ya akili zako.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ninashauri awaachie Hilo jimbo au ajiunge nao. Ili Wananchi wafurahie mfumo wa chama kimoja Kama wait ndivyo walivyotaka. Ila Hadi 2025 watanzania ninawaonea huruma Sana kwenye huo mfumo wa chama kimoja.
Usiwe na matatizo, watanzania wamechagua maendeleo ambayo Rais Magufuli amewaahidi. Ole wake Rais Magufuli ashindwe kutimiza ahadi zake, hapo ndiyo utakuwa mwisho wa CCM.

Ninge mshauri Lissu na Zitto waombe msamaha kwa wananchi kwa vitendo vyao vya hovyo vya kushirikiana na mabeberu na kurudi nyumbani kupiga siasa za upinzani.

Wakijipanga upya vizuri wanaweza 2025 kuchukua DOLA.
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, yaani unaunga mkono ujinga alioandika huyo?
Wee mataga tulia wanaume tukiwa tunaongea,tunachosema huyo dada asibuguziwe kwa namna yeyote aachwe aendelee na ubunge wake tunajua ccm Nia yenu mlete mgongano cdm
 
Mi nawaza tuu hivi akiamua kijiuhudhuru, au sijuh kufanya maamuzi gani ni Sawa ila swali

Atakuwa ame watendea Haki watu wake walio kubali kupanga folen kuchagua yeye???

Yeye awaze kuusu chama chake Je walio piga kula ni watu WA chama chake tuuu???

Kumbuka watu wame mwamin ndio maana wame fanya maamuhayo kwake Sasa akiamua kuwa tupa huo ndio ushenz utakao fanya watu wasije kuthubutu Tena kufanya maamuzi kama hayo kwakuwa wanajua tukimchagua wenziwe wakikosa ataujiudhuru
 
Mbunge anadhaminiwa na chama sio wananchi. Hta bungeni mnakaa kwa mfumo wa kichama, same to kamati. Na ndio maana Leo Mbowe akimfuta uanachama huyo dada ndio ubunge wake unafia hapi hapo.
Hivi unawezaje kuweka chama mbele dhidi ya wananchi wako!?

Kosa lenu CHADEMA ndio hilo na adhabu yake tumewapa kwenye uchaguzi huu.

Mmekuwa na kawaida ya kuheshimu chama kuliko wapiga kura wenu....Sasa safari hii sisi Watanzania tumewapa dozi ambayo imewazika kabisaaaa. Hatutaki wahuni kwenye Bunge letu!

Kaeni kwenye lichama lenu na muendelee kumtukuza yule mzee wa Faru Joni tuonane mtafika wapi kisiasa.

Huyo dada kwa hekima anapaswa kuheshimu wapiga kura wake kisha ndio chama kinafuata. Wapiga kura ndio kila kitu kwenye siasa. CCM wanalijua hilo CLEARLY.
 
Back
Top Bottom