Hivi kwanini baadhi ya wanawake hamtakiani mema?

welding1682

JF-Expert Member
Aug 20, 2019
1,680
3,579
Kwanini wanawake anapokuja mwanamke mwezako anataka ushauri unamuangamiza kwa chuki ambazo labda wewe umepitia badala ya kumtakia heri na mawazo mazuri!
 
Ingetafsirika kama chuki endapo yeye angekuwa kwenye ndoa halafu amshawishi mwenzie kuvunja ndoa, Kwa kesi hii naona dada mtu uelewa wake ndipo ulipokomea hapo! Hana namna nzuri ya kuapproach changamoto za ndoa, hana the hows and whys, hajui sababu na vyanzo vya tafrani ni tofauti na vya kwake, yaani kutokana na experience yake anafikiri kila mtu anapita mulemule hata kama safari iko tofauti.
 
Huu ujumbe nitamfikishia, unajua tena hapo kesho yake dogo kaondoka karudi mida mibovu na kalewa yeye anafurahi tu!
 
Kumbe kuandika kitu na kueleweka vizuri sio jambo dogo??..sikujua aisee
 
Kwanini wanawake anapokuja mwanamke mwezako anataka ushauri unamuangamiza kwa chuki ambazo labda wewe umepitia badala ya kumtakia heri na mawazo mazuri!
Ndiyo maana wengi ni wachawi, ukirogwa na mwanamke huponi, mume unapona faster, me akikupiga limbwata ni mchekea halina nguvu.

Mtu aliongea na adui wa Dunia shetani ...padogo hapo!!
 
Back
Top Bottom